Jamani huu si uchawi saidia

Status
Not open for further replies.
Wakuu nawashukuru wote kwa kuwa tayari kusaidia kwa kutoa ushauri na mawazo kwa wingi kiasi hiki, asanteni.
EIYER na KAHATAN kuna sehemu wamesema, ilikuwa ni haki ya yeyote kutoa mawazo yake kunisaidia, ni kweli kabisa, ni hivyo nimeheshimu kila wazo la mtu kwa kuwa ilikuwa na lengo la kusaidia, nimeona nitoe LIKE kwa kila aliyenisaidia kwa mawazo ndani ya page hizi kwa kuchukua muda wako kuchangia kwa namna yeyote ile.
Ingawa niweke wazi kuwa nimesita kutoa LIKE kwa TECHNOLOGY, kwa kuwa sijamuelewa-- anasema niache bangi--- namuhakikishia tu, sijawahi kutumia bangi-- niko salama kwa hilo.

Kwa upande wa MARKO - umesema-- mimi ni mtata-- kweli hilo suala ni gumu, na unaweza kufikiri una busara kumbe unachukuliwa ni mtata. Hata hivyo najitahidi sana kutoonekana mtata kwa kuweza kubaini vyanzo vya migogoro na kujaribu kuviepuka kwa kuwa ni huko ambako unaweza kusomeka zaidi kuwa ni mtata au la, ningependa niongee na kila mmoja, nisingependa niingie na mgogoro na mtu yeyote, ingawa huwezi kwepa kama mwanadamu, najitahidi sana ingawa kipimo ni watu ndio wanatakiwa kusema si mimi.

Nimepitia mawazo niliyopewa, ninaendelea kuyatumia, nashukuru sana.
 
Unakaribishwa ndugu mbelekwambe.

Kama kuna kitu kinakusumbua siku nyingine. Leta maneno.
Wana jamvi wapo kwa ajili ya kero ya wananchi.! Teh teh teh!
 
Last edited by a moderator:
Nimecheka sana mkuu kahtaan ,kilichonichekesha ni namna unavyojifunga mwenyewe
'
Umesema tatizo si Allah kuwa Yehova au Yesu kuwa Isa,ila ni kama Wakristo nao humuita Mungu wao Allah
'
Ndugu,kama Mungu wa kwenye Biblia ni Yehova na wanaoiamini Biblia ni Wakristo,hivi watamwitaje Mungu wao jina lingine?
'
If you agree Jehova is not Allah,hii ina maana kama kuna Mkrirto anamuita Mungu wa kwenye Biblia jina jingine basi huyo atakua kama sio mjinga basi atakuwa hajui anachofanya
'
Kama kuna mtu au watu wametafsiri Biblia kwa kiarabu halafu kwenye Yehova wakaweka Allah,hiyo ni kufuru na ni dhambi kubwa
'
In swahili Quran there is Allah,but kwenye Biblia ya Kiswahili hakuna,kwanini?
'
Hakuna uhusiano kati ya Allah na Yehova,inakuawaje uitafsiri Biblia halafu uyachanganye hayo?
'
Hakuna mwandishi au mkristo yoyote anaejua halafu akamwita Yehova kwa jina la Allah,ni sawa na binadamu umwite kuku!
 
Last edited by a moderator:
Mkuu unapo fanya mjadala jitahidi kua na lugha nzuri utakapo tumia lugha za jazba utajikuta unapayuka tu nazaidi utaishiwa pwenti. Nakuomba tumia lugha nzuri hatugombani bali tuna elimishana nahakuna anae lipwa hapa. Labda nikuulize swali lakizushi, ivi Yehova ndie Yesu? Kama yeye (Yehova) atatambulika kwa jina MOJA tu, ili la Yesu umelipata wapi? Au una kubaliana na mimi kua Yesu si mungu?

Hii ni mada nyingine kijana,subiri wakati wake,sory kama nimekukwaza kwenye maneno niliyotumia,realy sory!
 
Nimecheka sana mkuu kahtaan ,kilichonichekesha ni namna unavyojifunga mwenyewe
'
Umesema tatizo si Allah kuwa Yehova au Yesu kuwa Isa,ila ni kama Wakristo nao humuita Mungu wao Allah
'
Ndugu,kama Mungu wa kwenye Biblia ni Yehova na wanaoiamini Biblia ni Wakristo,hivi watamwitaje Mungu wao jina lingine?
'
If you agree Jehova is not Allah,hii ina maana kama kuna Mkrirto anamuita Mungu wa kwenye Biblia jina jingine basi huyo atakua kama sio mjinga basi atakuwa hajui anachofanya
' Kama kuna mtu au watu wametafsiri Biblia kwa kiarabu halafu kwenye Yehova wakaweka Allah,hiyo ni kufuru na ni dhambi kubwa

'
In swahili Quran there is Allah,but kwenye Biblia ya Kiswahili hakuna,kwanini?
'
Hakuna uhusiano kati ya Allah na Yehova,inakuawaje uitafsiri Biblia halafu uyachanganye hayo?
'
Hakuna mwandishi au mkristo yoyote anaejua halafu akamwita Yehova kwa jina la Allah,ni sawa na binadamu umwite kuku!

kwa kauli yako hii@eiyer, NI YA AJABU KABISA NA NI YA KUMSTAAJABISHA MSOMI MTU YOYOTE MWENYE KUISOMA!!!!!!
. WEWE AMBAE UKRISTO UMEINGIA AFRICA SI ZAIDI YA MIAKA 300, INAWEZEKANA UKAWA UNAUFAHAMU KULIKO WAKRISTOL WA MIDDLE EAST AMBAO WANAUFAHAMU TOKA UZAWA WA YESU.??

Ndani ya BIBLE yao WAMEANDIKA "ALLAH", Halafu wewe unasema WAMEKUFURU! SASA LABDA UWASAIDIE KITU KIMOJA TU, ILI NA WAO WASIKUFURU!!
UTAMSAIDIA VIPI MWARABU MKIRISTO! KUMUITA "MUNGU" KWA LUGHA YAO!??,

Maana yake "YEHOVA" AU "GOD" AU "MUNGU" sio KIARABU!!!

Labda Ukiwapa jibu huenda na wewe wakakukumbuka siku moja!

Na cha kuongezea, kuhusu Neno "ALLAH" kwenye quraan ya Kiswahili!

Sijui kama wewe Eiyer UNAFAHAMU kuwa lugha ya KISWAHILI imetokana na lugha ya KIARABU!!??[/B]

NA ni tabia ya lugha Hii ya Kiswahili KURIDHIKA NA MANENO AU MAJINA YA KIARABU<

MFANO; Wazazi wako unawaita BABA NA MAMA SIO??! Maneno unayotumia kila siku kama< AHSANTE, SHUKURANI, BADO, TAYARI, SUKARI, BINTI, HAIBA, DUNIA, SAMAWATI na mengine meeengi mno!

Yoote haya ni maneno yenye asili ya KIARABU.!! NA KUMBUKA Eiyer !! HAYA MANENO YAKO NDANI YA KAMUSI YA KISWAHILI!!

KWA hivyo usishangae kuona neno ALLAH ndani ya QURAANI ya Kiswahili, kwa sababu HATA BIBLIA YA KISWAHILI,

MANENO YA KIARABU NI MENGI TU!

AU UNATAKA NIKUTAJIE MANENO HAYO KUTOKA NDANI YA BIBLIA YAKO???
 
kahtaan ,kuishi jikoni sio kujua mapishi
'
Sio lazima yoyote alieko mashariki ya kati ajue zaidi ya wengine
'
Sio lazima waarabu wamwite Yehova kwa kiarabu wanaweza kulitumia la ndugu zao waebrania
'
Majina yana maana,Allah kama lilivyo halina maana mpaka utafute maana ya maneno yaliyotengeneza neno hilo,hata hivyo maana hiyo haifanani na maana ya Yehova,hivyo narudia tena kuyachanganya haya majina ni kufuru kubwa
'
Kila lugha imekopa maneno kutoka lugha nyingine,maneno yaliyokopwa hutumika kwa maana ileile,mfano neno shukran namna linavyotumika kwenye kiarabu ndivyo linavyotumika kwenye kiswahili
'
Ni sahihi penye neno God(kiingereza) ukatumia Theos(kigiriki),nisahihi kwenye Illah(kiarabu)ukatumia Mungu(kiswahili) haya maneno yana maana moja haijalishi yametumiwa kwenye lugha gani
'
Nisingekua na tatizo kama Allah na Yehova yangekua na maana moja,tatizo yana maana tofauti,kutumia Allah mahali pa Yehova ni kukufuru
'
Allah anatumiwa na wanaoamini Qurani TU!
 
Last edited by a moderator:
...Na ishara hizi zitafuatana na hao waaminio ,kwa Jina langu watatoa pepo..(Marko16:17)..Ndugu ni Jina la Yesu ndio linaloweza toa hayo mapepo,mwamini Yesu uokoke nawe utashinda hizo nguvu,you will have power of attorney from heaven to cast out demons..huko kibaha nenda kwenye kanisa linaloamini kuokoka tatizo lako litatuliwa...
Nifanyaje,

Nyumba ninayokaa, hali imefikia napigwa na kutishwa usiku wa manane, nimefikia nashindwa kulala maana hali inanitisha. Mara ya kwanza nikilala nilikuwa napata usingizi wa kulazimishwa baada ya hapo nahisi kukualiwa na kitu kizito ajabu najipigapiga kujishtua na inakuwa ngumu mwishowe ndiyo nafanikia , hali iliyofikia sasa hata kama sijasinzia nikijifunika net na shuka, ninapigwa kwa mshindo mdogo kama mtu ananishitua aidha mguuni au kichwani nikijifunua kuangalia sioni lolote, muda mwingine hata kama nimejiegesha tu kitandani nakuta ubaridi wa ajabu unaanza vidole vya miguu mpaka kiunoni na kurudi ikifuatiwa na hali ya uzito wa kama kukaliwa vibaya kuanzia miguuni, nimekuwa nalazimika kutolala kwa siku tatu mfululizo. hali hii ilikuwa inanitokea japo kwa interval hapa nyuma kidogo sasa imezini. Nimeondoka pale (pwani) nipo dar sasa hali hii hainitokei kabisa. Natakiwa kwenda kule kwa kuwa ni kazini, hali ngumu.

Nisaidieni namkamata vipi huyu, nataka kumkamata. nimepima malaria sina minyoo sina what is this
 
Now! my friend Reginald12, if you accept that"ALLAH" is NOT only a God of muslims, rather it is a common world for all middle east people to use when they refer " GOD" WHY DONT YOU TELL YOUR FRIENDS AS WELL SO THEY CAN UNDERSTAND THAT!!
I feel I must correct you slightly about that. I only referred to the argument about the use of the reference "allah" by Christians. The word for god in Arabic is 'allah' so the Arab Christian, Arab Muslim and indeed any one using the Arabic language will refer to their god as 'allah'.

I feel there is a slight distinction here as to whom the Chrisitians and Muslims refer to: Muslims believe in Allah (SWT) who exists as One! Christians on the other hand believe in their 'allah' variously referred to as Yahweh or Eloi and who they believe exists in Trinity -Father, Son and Holy Ghost (Spirit if you like).

But as to whom I believe the ultimate honour of being God belongs to, I will borrow loosely from Chinua Achebe, in Things Fall Apart; An old man called Anenna is conversing with the white Christian priest Mr Brown and Anenna asks a series of questions including: This god of yours, did he create you? And us? Did he create the world? And the trees ..... to which the white man happily nodded knowing he had a convert. Then old man Anenna says, 'Then we must be talking about the same person...you call him God but we (Igbo) call him Chukwu! Lucky Dube did a more musical delivery of the same message in his song, 'Jah Live'. I rest my case.
 
No doubt! Reginal12! No doubt!

For the explanation you added! That is what I was expecting from any Christian!

The concept of trinity is a different and most complicated subject all together.

But as long as we agree!

That the word "ALLAH" means GOD!

It doesn't matter if there is a trinity on arab bible or not! Cause I am not a part of that nation.

Its is entirely up to them how many gods they want to worshipped.

And I thank you for showing that !
 
Ndugu zangu hawa wafuasi wa Mohammad,wameshindwa kuthibitisha kama mungu wao ni Mungu wa kwenye Biblia,hii ina maana Quran IMEDANGANYA iliposema hivyo
'
Ukweli umebaki wazi,wanachofanya ni kulazimisha bila fact kuwa mungu wao ni huyohuyo Mungu wa kwenye Biblia takatifu
'
Inasikitisha sana,wanafurahi sana kuona asiejua anasema Mungu ni huyohuyo tu tofauti ni majina tu
'
UWONGO MKUBWA
'
Biblia takatifu inasema "watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa",maneno haya yametimia!
 
Nimecheka sana mkuu kahtaan ,kilichonichekesha ni namna unavyojifunga mwenyewe
'
Umesema tatizo si Allah kuwa Yehova au Yesu kuwa Isa,ila ni kama Wakristo nao humuita Mungu wao Allah
'
Ndugu,kama Mungu wa kwenye Biblia ni Yehova na wanaoiamini Biblia ni Wakristo,hivi watamwitaje Mungu wao jina lingine?
'
If you agree Jehova is not Allah,hii ina maana kama kuna Mkrirto anamuita Mungu wa kwenye Biblia jina jingine basi huyo atakua kama sio mjinga basi atakuwa hajui anachofanya
'
Kama kuna mtu au watu wametafsiri Biblia kwa kiarabu halafu kwenye Yehova wakaweka Allah,hiyo ni kufuru na ni dhambi kubwa
'
In swahili Quran there is Allah,but kwenye Biblia ya Kiswahili hakuna,kwanini?
'
Hakuna uhusiano kati ya Allah na Yehova,inakuawaje uitafsiri Biblia halafu uyachanganye hayo?
'
Hakuna mwandishi au mkristo yoyote anaejua halafu akamwita Yehova kwa jina la Allah,ni sawa na binadamu umwite kuku!

Naona upotofu umekulevya !

'Hakika wakosefu wamo katika upotofu na wazimu'
Q:Al Qamaar:47
 
Last edited by a moderator:
Ndugu zangu hawa wafuasi wa Mohammad,wameshindwa kuthibitisha kama mungu wao ni Mungu wa kwenye Biblia,hii ina maana Quran IMEDANGANYA iliposema hivyo
'
Ukweli umebaki wazi,wanachofanya ni kulazimisha bila fact kuwa mungu wao ni huyohuyo Mungu wa kwenye Biblia takatifu
'
Inasikitisha sana,wanafurahi sana kuona asiejua anasema Mungu ni huyohuyo tu tofauti ni majina tu
'
UWONGO MKUBWA
'
Biblia takatifu inasema "watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa",maneno haya yametimia!

UNAMUIGA MCHUNGAJI WAKO! MAX!!
KUTOA CONCLUSION .

Sisi waislamu hatuna haja ya kumlinganisha Mungu wa quraan na wa biblia. Lkn hatuna budi kukubali UKWELI kuwa MUNGU NI MMOJA TU!.

Na kusema kama kuna miungu wengi! Huo unaitwa "USHIRIKINA"

OGOPENI MUNGU ALIOWAPA UHAI.
AMBAO MNAUTUMIA KUSEMA UONGO JUU YAKE!.

IKO SIKU HUO UHAI ATAUONDOA!
 
kahtaan ,sijasema kuna miungu wengi,Mungu wa kweli ni mmoja tu
'
Lakini nilichokua ninamaanisha kuwa waislam na wakristo wanaabudu Miungu tofauti,hii ina maana kuwa kuna walioingizwa chaka,yaani wanamuabudu mungu ambae sio wa kweli
'
Labda swali hapa ni yupi wa kweli?
'
Ila unapodai kuwa hamdai kuwa Mungu wa kwenye biblia ndie mungu wa kwenye Quran unakua unajipinga mwenyewe,hebu kagua post zako zilizopita uone!
 
Labda ndugu Eiyer utusaidie kitu kimoja hapa!

Kwa kuwa umesema MUNGU wa kweli ni MMOJA TU!

Tusiangalie huyu MUNGU wa waislamu mimi nataka kujua wa kwako kwanza!

Sasa nakuuliza ndugu mpendwa!

Je! wewe unaabudu huyo MUNGU MMOJA TU!

AMBAE HANA MSHIRIKA WALA HANA ANAE FANANA NAE KATIKA UUNGU WAKE??

Nasubiri jibu!
 
Last edited by a moderator:
Hizo ni roho chafu zinakufuatilia. Hayo hutokea katika ulimwengu wa kiroho. Dawa ni moja tu mpe Bwana Yesu Maisha, tubu dhambi zako mkaribishe moyoni mwako. Utakuwa na uwezo wa kuyakemea hayo maroho yanayokusumbua. Yaambie yatoke kwa Jina la Yesu yatakutii. Sharti ni moja tu uwe safi yaani utubu kwanza dhambi na usitende tena dhambi. Usivyofanya hivyo hayatakutii.
Nifanyaje,

Nyumba ninayokaa, hali imefikia napigwa na kutishwa usiku wa manane, nimefikia nashindwa kulala maana hali inanitisha. Mara ya kwanza nikilala nilikuwa napata usingizi wa kulazimishwa baada ya hapo nahisi kukualiwa na kitu kizito ajabu najipigapiga kujishtua na inakuwa ngumu mwishowe ndiyo nafanikia , hali iliyofikia sasa hata kama sijasinzia nikijifunika net na shuka, ninapigwa kwa mshindo mdogo kama mtu ananishitua aidha mguuni au kichwani nikijifunua kuangalia sioni lolote, muda mwingine hata kama nimejiegesha tu kitandani nakuta ubaridi wa ajabu unaanza vidole vya miguu mpaka kiunoni na kurudi ikifuatiwa na hali ya uzito wa kama kukaliwa vibaya kuanzia miguuni, nimekuwa nalazimika kutolala kwa siku tatu mfululizo. hali hii ilikuwa inanitokea japo kwa interval hapa nyuma kidogo sasa imezini. Nimeondoka pale (pwani) nipo dar sasa hali hii hainitokei kabisa. Natakiwa kwenda kule kwa kuwa ni kazini, hali ngumu.

Nisaidieni namkamata vipi huyu, nataka kumkamata. nimepima malaria sina minyoo sina what is this
 
Hizo ni roho chafu zinakufuatilia. Hayo hutokea katika ulimwengu wa kiroho. Dawa ni moja tu mpe Bwana Yesu Maisha, tubu dhambi zako mkaribishe moyoni mwako. Utakuwa na uwezo wa kuyakemea hayo maroho yanayokusumbua. Yaambie yatoke kwa Jina la Yesu yatakutii. Sharti ni moja tu uwe safi yaani utubu kwanza dhambi na usitende tena dhambi. Usivyofanya hivyo hayatakutii.

Sasa vipi utubu kwa bwana Yesu!
Wakati MUNGU yupo??

Mbona Yesu pia alikuwa anaomba kwa MUNGU.?

Kwa nini sisi tuombe kwake??

Au umesahau ile Sala ya Bwana Yesu.??

Ee baba ulie mbinguni , jina lako........!
 
kahtaan ,
Unaponiuliza kuhusu Mungu ninaemuabudu mimi,unatakiwa uniulize mimi ni Mungu wa aina gani huyo ninaemuabudu
'
Hii maana yake ni kuwa "difinisheni" ya Mungu ninaemuabudu ninaijua mimi na sio wewe,unaponiambia mungu ambae sijui yuko hivi au vile huyo atakuwa ni wa kwako na sio wangu,wangu ninamjua mimi,na ni mimi pekee ninaeweza kumuelezea
'
Halafu Mungu wangu unamtakia nini?Kwanini unataka kumjua?Ili iweje na kwanini?
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom