Jamani huu si uchawi saidia

Jamani huu si uchawi saidia

Status
Not open for further replies.
kahtaan ,ngoja nikuongezee kidogo,
'
Mungu ambayo ni sifa ya CHOCHOTE kinachoabudiwa,sifa hii ina namna tofauti kwa kila kabila na lugha,nitakupa mifano michache hapa
'
Mungu kwa kiswahili ni Mungu,kwa kigiriki ni Theos,kwa kisukuma ni Sebha kwa kiha ni Imana kwa kiingereza ni God,kwa kiarabu ni Illah kwa ki-Aramaic ni alaha kwa Kiebrania ni Eli n.k
'
Miungu hii kila kabila na lugha ukifuatilia ilikuwa na majina binafsi
'
Majina haya hata Musa alikua anayajua ndio maana akamuuliza Mungu jina lake kwa kuwa Waana wa Israel walikuwa wanajua majina ya miungu wengi hivyo angewachanganya pale ambapo angesema ametumwa na Mungu
'
Alimuuliza Mungu wakiniuliza nimetumwa na Mungu yupi,Mungu alimuambia Musa jina lake ambalo ni Yehova,huyu pia anafahamika kama Mungu wa Ibrahimu,Isaka na Yakobo
'
Ngoja nikuulize ndugugu yangu kahtaan,
'
Hivi Allah maana yake ni NIKO AMBAE NIKO?
'
Je,Allah ndie Mungu wa Ibrahimu,Isaka na Yakobo?
'
Je,Allah kwa kiingereza ni Jehova?
'
Ngoja nikupe ka zoezi kadogo tu,Hebu nenda msikitini suku ya ijumaa,subiri watu wamekusanyika wengi wakingojea sala ya ijumaa halafu chukua kipaza sauti waambie leo ni siku ya kumwaabudu Yehova,halafu uone kitakacho kutokea,usinilaumu lakini
'
Hapo ndipo utakapojua Yehova sio Allah wala Yesu sio Isa!
Eiyer. Narudia tena kusema kama wagalatia wote ni kama wewe basi watu wangevutika hata ktk maongezi nao!

Ninavyoona hii mada ya ALLAH Ni NANI HAITA KWISHA LEO, MIMI NATOA KWENYE KAMUSI, WEWE MWENZANGU UNATOA KICHWA! nimekuonyesha maana ya "ALLAH" KWA KIINGEREZA TOKA KWENYE ENCYCLOPEDIA OF BRITAIN! LKN NAONA HIO PIA HAIKUFAI!!
SASA HAPA SI TUTAKESHA?? LABDA TU NIKUULIZE,
WAKRISTO WA KIARABU WANAMUITA MUNGU WAO NANI?? HILO TU NDUGU YANGU!!
 
Last edited by a moderator:

.........wanakwepa ukweli makusudi ! .......ili uwe Mgalatia lazima uwe "hamnazo"

'Hakika wakosefu (makafiri) wamo katika upotofu na wazimu'
Q:Al Qamaar; 47.
 
Kitoabu ,kumbe unajua kuwa umedandia treni kwa mbele,lakini hata baada ya kujua hilo bado umeendelea kuwa kichwa maji
'
Nimeshazungumza kwenye post zangu nyingi sana kuwa Yesu sio Isa na Allah sio Yehova,kama unataka kujua ni kwanini nimesema yesu anaemzungumza kahtaan simjui ni yupi na anapatikana wapi,soma post zangu zote sio kukurupuka
'
Nimechoka sana na maneno yenu ya kukariri bila kufanya tafiti,hamjiulizi maswali ya msingi kuwa,kama Muhammad amedai kuwa ni mtume wa Mungu Yehova,kwanini aje na jingine wakati jina huwa ni MOJA TU na Mungu amesema "kwa jina hili (Yehova) nitatambulika kwa VIZAZI VYOTE?
'
Inaonekana mmeingizwa chaka nanyi mnaenda tu bila kufikiri!
'
Wake up people!
 
Kama mungu anaitwa YEHOVA, vipi huyu mungu YESU anaetangazwa na Max Shimba ?!

Haisaidii kitu kama hutaki wewe Yesu awe Issa ila unakubali Yesu kuwa Jesus !

soma signature yangu inakutosha !
 
Nashkuru kwa darasa;
lakini hapa mwenzangu unasahau kanuni mojo muhimu katika malumbano ya hoja.
Nayo ni :
Kutokutoa maoni kwa kutumia fikra binafsi;
Au kwa lugha nyepesi.
Huwezi kutoa maoni yako kichwani kama ushahidi:
Sasa basi. Hebu tuwaulize wataalamu wa lugha!.
Je Neno "Allah" ni Mungu Mkuu. Au ni mungu wa waarabu tu??

Tuanze na encyclopedia:

Allah-(English-pronunciation:-/ˈælə/-or-/ˈɑːlə/;Arabic:-الله‎-Allāh,-IPA:-[ʔalˤˈlˤɑːh]-(-listen)-is theArabic-word for-God-(literally 'the God', as the initial "Al-" is the definite article).[1][2][3]-It is used mainly by-Muslims-to refer to-God in Islam,[4]Arab Christians, and often, albeit not exclusively, byBahá'ís,-Arabic-speakers, Indonesian, Malaysian and-Maltese-Christians, and-Mizrahi Jews.[5][6][7]

Hapa tunaona kuwa. Neno Allah halitumiwi na waislamu peke yao kwa kumwita Mungu isipokuwa

HATA WAARABU AMBAO NI WAKRISTO. WANAITA MUNGU WAO "ALLAH".

Ukitaka ushahidi zaidi nenda katika arabic bible utazame ! Je ! Jina Allah linatumika??

Sasa kama wakristo kama wewe wanatumia jina "Allah" kwa maana ya Mungu. Leo vipi ukatae na kusema "Allah" ni Mungu wa waislamu peke yao??!
Nakupa mfano mwingine ndani ya bible!

Imeelezwa kutoka Gospel of Mathew Ch. No. 27, Verse No. 46, Na pia ktk Gospel of Mark, Ch. No. 15, V.No.34 -

Alipo wekwa msalabani ; Akalia! Akasema! "‘Elai Elai Lama Sabac thani’- kwa maana ya kuwa " oh God, Oh God, why have thou forsaken me.

Ukitafasiri … ‘Elai Elai Lama Sabactani’ kwa Arabic… ni ‘Allah Allah Lama Sabachtani’. Does it sound similar? -

Yes! Why? - Sister languages. it does not sound similar to Yahweh at all.

Sasa sijui baina yako Eiyer na hao wakristo wa ghuba ya uarabuni wakiwemo wakristo wa kiyahudi.

Je! Ni nani mwenye haki zaidi ya kuchagua namna ya kumuita Mungu wao.
Na kwa taarifa yako. Hakuna mwarabu yoyote mkiristo. Akamuita mungu Yehova!

Sijui una cha kuongezea hapo kabla hatuja funga mjadala huu??

Wa kuwa Allah kwa kiswahili "Mungu Mkuu! "Na kiingereza ni "God"

"allah" , a common noun -no caps- in Arabic, means 'god', any god. "Allah" - a proper noun- Caps is also the name of the Muslim God/Creator! The use of allah to refer to god by Christians in the Middle East is proper because that is a word in Arabic that means god. You will note that there was trouble recently in Indonesia where there were attempts to have Christians expunge the word 'allah' from their Bibles.
We have parallels in many Bantu languages with Mungu, Mulungu and other variations of the same word to refer to 'God' in various languages.
 
Ally Kombo ,
Jiulize mwenyewe huyo Allah ni nani,usiniulize mimi
'
Unatakiwa uniulize mimi Yehova ni nani na sio nje ya hapo
'
Mungu wa kweli ni mmoja tu alieumba mbingu na nchi na vilivyomo na ana jina lake MOJA TU narudia tena MOJA TU
'
Sasa ujiulize kama Qurani inadai kuwa Mungu wa kwenye Biblia ndo mungu wa kwenye Quran,iweje wa kwenye Quran aitwe Allah na wa kwenye Biblia aitwe Yehova?
'
Kama kweli ni yule yule iweje awe na majina tofauti?Kumbuka Allah kwa kiebrania sio Yehova na Yehova kwa kiarabu sio Allah
'
Ukiona mahali kuna neno Allah jua huyo anaetamkwa hapo ni mungu wa waarabu anaeabudiwa na kabila la ki-Kuresh na huyo ni mungu wao binafsi aliekua akiabudiwa na sanamu 360
'
Neno Mungu kwa kiarabu ni illah na kiebrania ni Eli,kumbuka Mungu,illa na Eli ni sifa sio jina
'
Again Allah sio Yehova!
Eiyer, Maneno yako yangekuwa matamu saana kama unatuwekea na kaushahidi kidooogo kutoka katika VITABU VINAVYO KUBALIKA DUNIANI,!!

Nimesema kabla , mtu anaweza kudai chochote kile kuwa ni kweli au uongo, lakini bila ushahidi madhubuti kesi yake inakuwa kama mapovu baharini! hayana nguvu juu ya bahari!!

Sasa, labda tugeuze kidogo hii mada!!

shida yetu si, ALLAH KUWA YEHOVA! wala Yesu kuwa ISSA!,

SHIDA HAPA NI JE! ALLAH NI MUNGU ANAEABUDIWWA NA WAISLAMU TU PEKE YAO?? AU WAKRISTO PIA WANAMUITA MUNGU WAO ALLAH???

SASA NAKUOMBA UTAZAME QURAAN YA KIARABU! NA BIBLIA YA KIARABU!!

In the Name of God, the Compassionate, the Merciful."[Qur'ân 1:1 - Arabic transliteration]
"Bismi-Allahi ar-Rahmani, ar-Raheem"
[Qur'ân 1:1 - Arabic]

bismilla.gif

dummy.gif

[Genesis 1:1 - English Bible - King James Version]
"In the beginning God created the Heaven and the Earth . . . "
[Genesis 1:1 - Arabic transliteration]
"Fee al-badi' khalaqa Allahu as-Samaawaat wa al-Ard . . . "
[Genesis 1:1 - Arabic Bible]
ABIB-01.GIF

[John 3:16 - English Bible - King James Version]
"For God so loved the world, that . . . "
[John 3:16 - Arabic transliteration]
"Li-annhu haakadha ahabba Allahu al-'Aalama hataa badhala . . . "
[John 3:16 - Arabic Bible]

ABIB-02.GIF

dummy.gif
[Luke 1:30 - English Bible - King James Version]" . . . Fear not, Mary: for thou hast found favor with God."
[Luke 1:30 - Arabic transliteration]
" . . . Laa takhaafee, yaa Maryam, li-annaki qad wajadti ni'amat(an) i'nda Allahi."
[Luke 1:30 - Arabic Bible]
ABIB-03.GIF

Luke 3:38 - English Bible - New King James Version]
"the son of Enos, the son of Seth, the son of Adam, the son of God."
[Luke 3:38 - Arabic transliteration]
"bini Anoosha, bini Sheeti, bini Aaadama, abni Allahi."
[Luke 3:38 - Arabic Bible]
abib-04.gif

SASA HAPA UTAONA NENO "ALLAH" NDANI YA BIBLIA YA KIARABU WAZIWAZI!

Hapa ndugu Eiyer, Hatubishani ili kutafuta mshindi! bali tunaelimishana na kama unadhani kuna ushindani, basi mimi nikuachie uwanja, maana yake , hata kama nitakupa mifano ilio wazi kama hii, pia utabisha tu! na sioni sababu ya kupoteza muda wako na wangu,

Mungu anasema ktk quraan: Surah 73:19 Lo! This is a Reminder. Let him who will, then, choose a way unto his Lord.

also;
Surah 25:57Say: I ask of you no reward for this, save that whoso will may choose a way unto his Lord

Ahsante kwa kusoma.

cc Izz Ally Kombo

Last edited by a moderator:
Now! my friend Reginald12, if you accept that"ALLAH" is NOT only a God of muslims, rather it is a common world for all middle east people to use when they refer " GOD" WHY DONT YOU TELL YOUR FRIENDS AS WELL SO THEY CAN UNDERSTAND THAT!!
 
Last edited by a moderator:
Eiyer, Maneno yako yangekuwa matamu saana kama unatuwekea na kaushahidi kidooogo kutoka katika VITABU VINAVYO KUBALIKA DUNIANI,!!

Nimesema kabla , mtu anaweza kudai chochote kile kuwa ni kweli au uongo, lakini bila ushahidi madhubuti kesi yake inakuwa kama mapovu baharini! hayana nguvu juu ya bahari!!

Sasa, labda tugeuze kidogo hii mada!!

shida yetu si, ALLAH KUWA YEHOVA! wala Yesu kuwa ISSA!,

SHIDA HAPA NI JE! ALLAH NI MUNGU ANAEABUDIWWA NA WAISLAMU TU PEKE YAO?? AU WAKRISTO PIA WANAMUITA MUNGU WAO ALLAH???

SASA NAKUOMBA UTAZAME QURAAN YA KIARABU! NA BIBLIA YA KIARABU!!

In the Name of God, the Compassionate, the Merciful."[Qur'ân 1:1 - Arabic transliteration]
"Bismi-Allahi ar-Rahmani, ar-Raheem"
[Qur'ân 1:1 - Arabic]

bismilla.gif

dummy.gif

[Genesis 1:1 - English Bible - King James Version]
"In the beginning God created the Heaven and the Earth . . . "
[Genesis 1:1 - Arabic transliteration]
"Fee al-badi' khalaqa Allahu as-Samaawaat wa al-Ard . . . "
[Genesis 1:1 - Arabic Bible]
ABIB-01.GIF

[John 3:16 - English Bible - King James Version]
"For God so loved the world, that . . . "
[John 3:16 - Arabic transliteration]
"Li-annhu haakadha ahabba Allahu al-'Aalama hataa badhala . . . "
[John 3:16 - Arabic Bible]

ABIB-02.GIF

dummy.gif
[Luke 1:30 - English Bible - King James Version]" . . . Fear not, Mary: for thou hast found favor with God."
[Luke 1:30 - Arabic transliteration]
" . . . Laa takhaafee, yaa Maryam, li-annaki qad wajadti ni'amat(an) i'nda Allahi."
[Luke 1:30 - Arabic Bible]
ABIB-03.GIF

Luke 3:38 - English Bible - New King James Version]
"the son of Enos, the son of Seth, the son of Adam, the son of God."
[Luke 3:38 - Arabic transliteration]
"bini Anoosha, bini Sheeti, bini Aaadama, abni Allahi."
[Luke 3:38 - Arabic Bible]
abib-04.gif

SASA HAPA UTAONA NENO "ALLAH" NDANI YA BIBLIA YA KIARABU WAZIWAZI!

Hapa ndugu Eiyer, Hatubishani ili kutafuta mshindi! bali tunaelimishana na kama unadhani kuna ushindani, basi mimi nikuachie uwanja, maana yake , hata kama nitakupa mifano ilio wazi kama hii, pia utabisha tu! na sioni sababu ya kupoteza muda wako na wangu,

Mungu anasema ktk quraan: Surah 73:19 Lo! This is a Reminder. Let him who will, then, choose a way unto his Lord.

also;
Surah 25:57Say: I ask of you no reward for this, save that whoso will may choose a way unto his Lord

Ahsante kwa kusoma.

cc Izz Ally Kombo

kahtaan, umeeleza vizuri mkuu kua hapa hatuko kwa ajili ya kubishana, bali kuelimisha!

Ndio maana Katika kuelezea kile unachokisimamia unakitolea na vielelezo kama ulivyofanya hapo juu na sio maneno ya kufikirika.

Ingekua vema pia upande wa pili uje na vielelezo vya kupinga hoja ya kahtaan au Ally Kombo
 
Last edited by a moderator:
sijasoma post zako zote humu kama ulijieleza zaidi, ila kama kuna mtu alishauliwa zamani hapo bassi ndie au kuna mtu alikuwa attached na hicho kitanda inategemea sasa ni kwa nani, umepanga? watu/mtu alishaishi hapo kabla yako ni vizuri kuuliza majirani huwa wanajua mengi as wanakuwa wameishi hapo au wengine story zinasumuliwa.

Pia labda hiyo kazi kuna anayeipenda na wanakusambaratia ili uikimbie... nayo inategemea.

pole sana, Mungu atakubariki lala na biblia/rosali etc ukienda na usali.
 
.........nasikia mungu wako aliuliwa msalabani ili wewe uokoke !?

..........kuna ubaya unaozidi wa kumuuua mungu ? :heh:

Sheikh ally. Nenda nao taratibu kaka!

Ukiwapeleka mbio! Watakimbia halafu tutakosa nafasi ya kupiga daawa ndugu yangu.

Tartiiiiibu!

Mbona wanasilimu wengi tu kila siku!

Tena wacha wayahudi weusi! Wazungu walioleta ukristo huko africa wanaingia kwenye hii dini kama wanalipwa!

ALLAHU AKBAR!.

Tartibu kaka!!
 
.........nimekuelewa Mwalimu !:nod:
 
Eiyer, Maneno yako yangekuwa matamu saana kama unatuwekea na kaushahidi kidooogo kutoka katika VITABU VINAVYO KUBALIKA DUNIANI,!!

Nimesema kabla , mtu anaweza kudai chochote kile kuwa ni kweli au uongo, lakini bila ushahidi madhubuti kesi yake inakuwa kama mapovu baharini! hayana nguvu juu ya bahari!!

Sasa, labda tugeuze kidogo hii mada!!

shida yetu si, ALLAH KUWA YEHOVA! wala Yesu kuwa ISSA!,

SHIDA HAPA NI JE! ALLAH NI MUNGU ANAEABUDIWWA NA WAISLAMU TU PEKE YAO?? AU WAKRISTO PIA WANAMUITA MUNGU WAO ALLAH???

SASA NAKUOMBA UTAZAME QURAAN YA KIARABU! NA BIBLIA YA KIARABU!!

In the Name of God, the Compassionate, the Merciful."[Qur'ân 1:1 - Arabic transliteration]
"Bismi-Allahi ar-Rahmani, ar-Raheem"
[Qur'ân 1:1 - Arabic]

bismilla.gif

dummy.gif

[Genesis 1:1 - English Bible - King James Version]
"In the beginning God created the Heaven and the Earth . . . "
[Genesis 1:1 - Arabic transliteration]
"Fee al-badi' khalaqa Allahu as-Samaawaat wa al-Ard . . . "
[Genesis 1:1 - Arabic Bible]
ABIB-01.GIF

[John 3:16 - English Bible - King James Version]
"For God so loved the world, that . . . "
[John 3:16 - Arabic transliteration]
"Li-annhu haakadha ahabba Allahu al-'Aalama hataa badhala . . . "
[John 3:16 - Arabic Bible]

ABIB-02.GIF

dummy.gif
[Luke 1:30 - English Bible - King James Version]" . . . Fear not, Mary: for thou hast found favor with God."
[Luke 1:30 - Arabic transliteration]
" . . . Laa takhaafee, yaa Maryam, li-annaki qad wajadti ni'amat(an) i'nda Allahi."
[Luke 1:30 - Arabic Bible]
ABIB-03.GIF

Luke 3:38 - English Bible - New King James Version]
"the son of Enos, the son of Seth, the son of Adam, the son of God."
[Luke 3:38 - Arabic transliteration]
"bini Anoosha, bini Sheeti, bini Aaadama, abni Allahi."
[Luke 3:38 - Arabic Bible]
abib-04.gif

SASA HAPA UTAONA NENO "ALLAH" NDANI YA BIBLIA YA KIARABU WAZIWAZI!

Hapa ndugu Eiyer, Hatubishani ili kutafuta mshindi! bali tunaelimishana na kama unadhani kuna ushindani, basi mimi nikuachie uwanja, maana yake , hata kama nitakupa mifano ilio wazi kama hii, pia utabisha tu! na sioni sababu ya kupoteza muda wako na wangu,

Mungu anasema ktk quraan: Surah 73:19 Lo! This is a Reminder. Let him who will, then, choose a way unto his Lord.

also;
Surah 25:57Say: I ask of you no reward for this, save that whoso will may choose a way unto his Lord

Ahsante kwa kusoma.

cc Izz Ally Kombo

.......wanaelewa masomo yenye utata wa wazi wazi ( tatu katika moja !) lakini somo rahisi hivi .....hawataki !...........sijui wamegeuzwa wapi hawa ?
 
Wee jamaa ni mtata! that thing exists in your brai and not otherwise. There is someone you fear!
 
Kitoabu ,kumbe unajua kuwa umedandia treni kwa mbele,lakini hata baada ya kujua hilo bado umeendelea kuwa kichwa maji
'
Nimeshazungumza kwenye post zangu nyingi sana kuwa Yesu sio Isa na Allah sio Yehova,kama unataka kujua ni kwanini nimesema yesu anaemzungumza kahtaan simjui ni yupi na anapatikana wapi,soma post zangu zote sio kukurupuka
'
Nimechoka sana na maneno yenu ya kukariri bila kufanya tafiti,hamjiulizi maswali ya msingi kuwa,kama Muhammad amedai kuwa ni mtume wa Mungu Yehova,kwanini aje na jingine wakati jina huwa ni MOJA TU na Mungu amesema "kwa jina hili (Yehova) nitatambulika kwa VIZAZI VYOTE?
'
Inaonekana mmeingizwa chaka nanyi mnaenda tu bila kufikiri!
'
Wake up people!
Mkuu unapo fanya mjadala jitahidi kua na lugha nzuri utakapo tumia lugha za jazba utajikuta unapayuka tu nazaidi utaishiwa pwenti. Nakuomba tumia lugha nzuri hatugombani bali tuna elimishana nahakuna anae lipwa hapa. Labda nikuulize swali lakizushi, ivi Yehova ndie Yesu? Kama yeye (Yehova) atatambulika kwa jina MOJA tu, ili la Yesu umelipata wapi? Au una kubaliana na mimi kua Yesu si mungu?
 
Last edited by a moderator:
Kitoabu ,kumbe unajua kuwa umedandia treni kwa mbele,lakini hata baada ya kujua hilo bado umeendelea kuwa kichwa maji
'
Nimeshazungumza kwenye post zangu nyingi sana kuwa Yesu sio Isa na Allah sio Yehova,kama unataka kujua ni kwanini nimesema yesu anaemzungumza kahtaan simjui ni yupi na anapatikana wapi,soma post zangu zote sio kukurupuka
'
Nimechoka sana na maneno yenu ya kukariri bila kufanya tafiti,hamjiulizi maswali ya msingi kuwa,kama Muhammad amedai kuwa ni mtume wa Mungu Yehova,kwanini aje na jingine wakati jina huwa ni MOJA TU na Mungu amesema "kwa jina hili (Yehova) nitatambulika kwa VIZAZI VYOTE?
'
Inaonekana mmeingizwa chaka nanyi mnaenda tu bila kufikiri!
'
Wake up people!

ndugu@eiyer tulianza vizuri lkn naona mwenzangu unataka kuwaga wale wenzako, majina mabaya humu ndani yana haribu sifa yako uliokuwa nayo mwanzo, kumuita mtu kichwa maji sidhani kama ni busara na uungwana, lkn tuendelee!
 
Tatizo bw. Max wewe umezoea kukalili bila kuyafanyia kazi hayo uliyo kariri. Hii inanifanya nikuweke ktk kundi la wale manabii wa uwongo alie watabiri Bw Yesu. Unajua umehangaika sana kutafuta bible nzima kulitafuta andiko linalo thibitisha uungu wa Yesu lakini ume kosa, nakuamua kuja na ngonjera. Bado maandiko uliyo yatoa hayaja thibitisha kua Yesu ni mungu wala Yesu ni mwana wa mungu. YESU SI MUNGU.

ndugu Kitoabu yalaiti huyu mchungaji angekusikiliza basi angepata faida saana! lkn usikate tamaa, labda iko siku atasikiliza!
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom