kahtaan ,nilikujibu kutokana na swali lako,uliniuliza nani kaumba kila kitu
'
Siwezi kukujibu kimkato tu lazima nikupe na maelezo,sory kama nimekukwaza
'
Ki ukweli,ninachotaka watu waelewe hapa ni kuwa,Mungu wa kweli ni MMOJA TU,kama Mungu huyo ni mmoja atakuwa na jina lake moja ambalo ni Yehova TU,hawezi kuwa na majina mawili
'
Kama huyu ndie wa kweli ndie atakuwa MUUMBAJI hakuna mwingine
'
On the other side kuna Quran,Quran inadai kuwa Mungu wa kwenye biblia ndo huyohuyo aliyeleta Quran hivyo wanaoifuata lazima waikubali Injili
'
Hapa kuna matatizo makubwa yafuatayo
Kama Mungu ni yuleyule kwanini majina yake yawe tofauti?Allah na Yehova ni majina yaliyotokana lugha tofauti na hayana maana moja,kila jina linawilisha kitu tofauti,Kwanini?
'
Kwenye Quran kuna Isa,huyu hakufa na ni nabii wa Allah na alikuja kwa ajili ya Waisraeli tu
Kwenye Biblia kuna Yesu huyu alikufa msalabani,ni MWANA Wa MUNGU na ni MUNGU,ndie aliyeumba VYOTE,alikuja kwaajili ya ulimwengu wote na ndie atakaeuhukumu ulimwengu.
'
Hawa Isa na Yesu ni watu wawili tofauti kuanzia majina hadi majukumu yao
'
Hapa tunaona kuna tofauti kati ya Mungu wa Biblia na Quran
'
Kwanini Quran iseme ni huyo huyo mmoja?
'
Hapa kuna mambo mawili
'
Moja;Quran imedanganya
Pili;Mwandishi wa Quran alijaribu kuifananisha na Biblia kitu kinachomfanya mwandishi huyo asiwe Mungu kwani Mungu hakosei!