kahtaan ,inaonekana either hujui unachoongea au unajaribu kuudanganya umma wa wana JF
'
Wacha nikupe shule kidogo
'
Kwanza tambua Mungu sio jina ni sifa,chochote kinachoabudiwa hupewa sifa au huitwa Mungu
'
Jamii zote zilikua na miungu yao na hiyo miungu ilikuwa na majina na yalikua na maana yake,lakini alikuwepo Mungu wa kweli ambae nae alikua na jina lake na lina maana yake
'
Chochote kilichoabudiwa au kinachoabudiwa huitwa Mungu
'
Mfano,kama kuna watu manaabudu jiwe,jiwe lile huitwa mungu
'
Sasa umeniacha hoi kwa kuniambia eti Yehova kwa kiingerera ni Mungu,tatizo hujui,ni kwamba Yehova ana sifa ya Uungu kwa kuwa anaabudiwa
'
Maana ya Yehova ni NIKO AMBAE NIKO,Yehova kwa kiingerera ni Jehova
'
Kama kuna kamusi au encyclopedia yoyote inayosema Yehova kwa kiingereza ni God,hiyo kamusi inatakiwa IFUTWE
'
Yesu kwa kiingereza ni Jesus sawa,lakini ni jambo la ajabu kudai Isa ni Jesus
'
Jina Yesu limetokana na jina hilo la Yesu kwa kiarabu ambalo ni Yashu,na Yashu imetokana na jina la Yesu kwa kiebrania ambalo ni Yeshua.Jesus kwa upande wa kiingereza limetokana jina la Yesu kwa Kigiriki ambalo ni Ihesus,Ihesus imetokana na jina la Yesu kwa kiebrania ambalo ni Yeshua
'
Isa is something different,ni jina la kiarabu ambalo halina tafsiri yoyote,as well as Allah
'
Allah anapewa sifa ya uungu kwa kuwa anaabudiwa,lakini sio kwa kuwa anaabudiwa basi ataitwa Yehova,hii ni sawa na useme kwakuwa ng'ombe anabudiwa basi anaitwa Allah
'
Ng'ombe anaweza kuitwa mungu lakini hawezi kuitwa Allah kwa kuwa Allah ni jina la mungu wa Wakuresh!