Jamani huu si uchawi saidia

Jamani huu si uchawi saidia

Status
Not open for further replies.
kahtaan ,
Swali langu liko hivi;
'
Kwenye biblia kuna ahadi ambayo Mungu alimpa Ibrahimu,na ahadi hiyo kuna mwana wa Ibrahimu ambae ndo mbeba ahadi hiyo,mwana huyo umenijibu kuwa ni Isack
'
Je ahadi hiyo ni ipi?Yaani ahadi aliyoahidiwa Ibrahimu ambayo ataibeba mwana wa ahadi ambae ni Isaka!
 
Last edited by a moderator:
Developing countries have many problems addressing the mental health issues of their population.

I believe the BBC is running a program on this subject, something like a country of tens of millions of people having tens of mental health professionals.

The counsel of Dr. Kilonzo would prove of much assistance here.
 
Kaka, nakupa siri. Sijui wewe ni dini gani, ila kesho funga kula na kunywa na uingie katika sala na kuomba rehema na nguvu za mungu zikushukie. Katika maombi yako amini kuwa hakuna chenye nguvu zaidi ya mungu, anaejiita NIKO AMBAYE NIKO. Kesho kutwa usifunge, uwe na kawaida yako ya kila siku.
Jibu utalipata ni maisha gani uchague.
 


hahaha huna ujanja tena now you are like rabbit caught in headlights

MBONA SWALI LANGU UMELIKIMBIA MAXSHIMBA NI WAPI YESU ALIPO SEMA HAKIKA MIMI NI MUNGU!!

Hilo jibu hawezi toa. Hata askofu wa vatican! Wacha huyu Atheist MaxShimba

Ambae kazi kuubwa ni kusema uongo tu!
We si utakuja nambia!

Hawezi jibu mpaka kufa!

Teh teh teh teh 😀😀😀😀.

Chura kabanwa mlango!
 
Last edited by a moderator:
We MaxShimba unamuita YESU MUNGU SIO??

Nakuuliza je! Mungu Yesu alisali!? Na akaomba!?

Haya sasa! Ndugu wa JF Angalia movie inayokuja.!!kutoka kwa maxshombo
 
Last edited by a moderator:
We MaxShimba unamuita YESU MUNGU SIO??

Nakuuliza je! Mungu Yesu alisali!? Na akaomba!?

Haya sasa! Ndugu wa JF Angalia movie inayokuja.!!kutoka kwa maxshombo

MAX kashindwa na hoja subiri viroja sasa,, ataleta zile IDs zake nyingine atajipigia like na kuji support.. swali langu kagoma kujibu ... achana naye mkuu atakupotezea muda tu...

atakwenda kwenye answer islam au kale ka blog kake ata copy upuuzi ambao hata kuelewa haelewi na kuja ku paste
 
kahtaan ,
Sasa sijui unakua na matatizo gani,mbona kona kona zinakua nyingi?Au hutaki kujibu swali?
'
Ni ahadi gani Mungu alimuahidi Ibrahimu kuwa ataitimiza kupitia mwana wa hiyo ahadi ambae ni Isaka?
'
Au nikuulize,Isaka alizaliwa kwa sababu gani?
'
Plz,right now i need answers!!
 
Last edited by a moderator:
NI kila kitu
Yesu ni caterpillar hachagui.
tatizo lako litokane na binadamu wenzio, shetani au malaria iliyosababishwa na mbu.

Acha kudandia mambo kama hujui?!!

Kapangilie upya swali lako halafu uje, sio unakurupuka tu kama umetoka usingizini!
 
Maxi,nimekugunduwa una coppy na ku paste,vitu ambavyo vimeshajibiwa katka answering christianity,hayo yote unayoleta hapa yameshajibiwa.
Nenda kwenye link hiyo
 
Sasa we njiwa swali lako umejibiwa tayari,kisha ukaambiwa ulete aya ambayo msemaji awe Allah bado unatapatapa tu
'
Leta aya msemaji awe Allah,aseme yeye ni Mungu!
 
Last edited by a moderator:
Maxi wacha kujidhihirisha kama una elimu ya shule za kata,kwa kushindwa kufahamu kama neno moja laweza kuwa na maana hata zaidi kumi,kutegemeana na sentesi.
Ni kama mtu kukuambia kalete mbuzi nikune nazi,ukaenda chukuwa mbuzi wa mnyama ukamletea,utaonekana,akili zako hazina akili.
Hiyo pray ya hapo,haina maana ya kuswali,kutokana na sentesi inavyojieleza,taizo shule yako ya kata,si kosa lako.
Nenda Answering christianity-com ,yameshajibiwa yote haya na mengine.Walioleta maswali haya wenzako wamekimbia,hawauyaleti tena ,wewe ndio wayacopy na kupaste sasa.
 
Sasa we njiwa swali lako umejibiwa tayari,kisha ukaambiwa ulete aya ambayo msemaji awe Allah bado unatapatapa tu
'
Leta aya msemaji awe Allah,aseme yeye ni Mungu!


zipo nyingi baadhi ni ...



27_9.GIF
9. Ewe Musa! Hakika Mimi ndiye Mwenyezi Mungu, Mwenye nguvu, Mwenye hikima. ***



20_14.GIF
14. Hakika Mimi ndiye Mwenyezi Mungu. Hapana mungu ila Mimi tu. Basi niabudu Mimi, na ushike Sala kwa ajili ya kunikumbuka Mimi. ***



PS swali langu hajajibu analikimbia jibu wewe wapi yesu kasema mimi ni mungu
 
Maxi,nimekugunduwa una coppy na ku paste,vitu ambavyo vimeshajibiwa katka answering christianity,hayo yote unayoleta hapa yameshajibiwa.
Nenda kwenye link hiyo

Sasa mbona mnadai mmejibu hapa?Mnajichanganya sana,vipi na huyu www.faithfreedom.org mbona mmeshindwa kumjibu?
 
njiwa ,hizo ayat ulizoleta mbona hakuna mahali Allah anasema kuwa yeye Mungu?
'
Au hakuna?
 
Last edited by a moderator:
Tatizo ya shule za kata ndo matunda yake yanaonekana,maxi,unashindwa hata kuelewa sentesnsi yaamanisha nini,wewe wa copy na kupaste tu.Lakini si kosa lako,ni elimu ya shule za kata,mwalimu katoka na div ziro,ndio anakufundisha,wategemea mwanafunzi utakuwa vipi?
 
Sasa mbona mnadai mmejibu hapa?Mnajichanganya sana,vipi na huyu www.faithfreedom.org mbona mmeshindwa kumjibu?
Matunda ya shule za kata yanaanza kujitokeza,hata kuelewa kakama kila lugha ina mjengo na misemo na utamaduni wake,pia mwashindwa.Kweli kazi ipo.
 
Tatizo ya shule za kata ndo matunda yake yanaonekana,maxi,unashindwa hata kuelewa sentesnsi yaamanisha nini,wewe wa copy na kupaste tu.Lakini si kosa lako,ni elimu ya shule za kata,mwalimu katoka na div ziro,ndio anakufundisha,wategemea mwanafunzi utakuwa vipi?

Leta ayat hapa wewe kelele za nini?Au hakuna?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom