Ndugu
Eiyer mimi binafsi sina tatizo na mtu yyt ambae anaabudu chochote. Mtu hata akiabudu nyumba au mti
Hainipi tabu mimi.
Na dini yangu inanimrisha nisimlazimishe mtu kuingia ktk imani yangu hata siku moja!
Bali naruhusiwa kumpa ushauri tu!
Lkn shida inakuja pale watu wanapo sema uongo juu ya MUNGU MUUMBA.
Ambae mimi namwabudu. Na moja ya maamrisho ya dini yangu ni kusema ukweli pale ambapo watu wanamsingizia Uongo MUNGU MKUU NA MITUME WAKE!.
LAZIMA WATU WOTE WATAMBUE KUWA
MUISLAMU HAWI MUISLAMU WA KWELI MPAKA AKUBALI KUWA YESU NI MTUME WA MUNGU.!
Yesu kabla ya kuondoka
alisema"watakuja watu baada yangu. Na watajiita mitume na manabii na rabi"
Leo tunaona kwenye tv hapa kwetu tanzania! Watu wanajiita manabii na mitume!!
Humu ndani ya hii forum. Watu wanajipa vyeo kama huyu
MaxShimba anajiita" friend of GOD"
Hicho cheo kajipa mwenyewe !
Halafu anatukana na kutoa kashfa kila siku! Akisema kuwa, mara MUNGU NI MTOTO! mara MUNGU NI WAWILI!, Mara MUNGU ALIKUFA AKAFUFUKA! Mara YESU ALIKUWA MUNGU NA MTU HUYOHUYO!
Sasa huyu MUNGU amekuwa hana thamani namna hii kweli??
We unaweza mfanyia upuuzi huu MUNGU MKUU. ALIEUMBA MBINGU NA DUNIA NA VILIVYOMO?! KWELI??
Halafu sisi tunyamaze tu!
Kama mtu huyu atakuwa na cheo cha kuwa rafiki wa mungu!
Kweli we
Eiyer unakubali asiambiwe ukweli?!
Rafiki wa mungu mwenye matusi!? Na kashfa!?! Mwenye kuandika pages after pages za kumsingizia MUNGU uongo.!!
Ambao hata wewe ukipewa sifa hizo utazikataa!
Halafu wakiristo wanaona ni sawa atukane na kutoa kashfa na ajiite rafiki wa MUNGU NA nabii wa YESU!!?
Sababu? Na yeye anajiita mkiristo!
Sasa kama mafundisho ya YESU wa kweli yako hivyo.
Huo ukiristo umebakisha nini kichafu!?!
Wanamme wanaoana kwa kupitia kanisa!
Kina dada nao hivohivo!?
Wabakaji na wanao haribu watoto wanapitia kanisani kufanya upuuzi huu.
Halafu sisi tunyamaze tu!?!
Hilo kanisa la MUNGU litasalimika kweli??
KWELI INAWEZEKANA HII???
Nasema tena, mtu anaweza kutukana au kutoa kashfa kama walevi na wavuta bangi! Anavyo taka!
Lakini asithubutu kujiita "rafiki wa mungu" na "mfuasi wa Yesu"
Naapa sintoacha kuonyesha uhuni wake mpaka siku ya mwisho, hata kama atapasuka!
Na yeyote anaesema ni mfuasi wa kweli wa YESU ni lazima afanye hivyo ama sio . Na yeye ni ktk "wanafiki "wanaojifanya kusema wanamfuata Yesu lkn kwa maslahi binafsi na sio mapenzi ya kweli.!
Sema ukweli, japo kuwa ukweli unauma."