Jamani huu si uchawi saidia

Jamani huu si uchawi saidia

Status
Not open for further replies.
kahtaan ,kama utaibishia hiyo post yangu hapo juu unatakiwa uthibitishe kwa ushahidi kuwa Yehova ndie Allah
'
Kama utaendelea kubisha hadhara ya JF itakushangaa sana kwa kuwa unataka kulazimisha mungu wako awe mungu wa wengine kitendo kinachomfanya awe dhaifu kwa kuwa ili akamilike ni lazima amfananishe na mungu wa watu wengine!
 
Last edited by a moderator:
Sasa hebu tizama hili jitu lenye akili kama taahira!
Eti kwa sababu huyo nabii wa uongo amesema kuw mungu wa biblia kasema "na tuumbe kwa mfano wetu" !!
Huyu mwenye matatizo ya akili MaxShimba anasema. Huyo mungu ana sifa kama yeye!

Yaani anakula!.kiti moto kama yeye!
Akanya! Mavi ya kiti moto! Kama yeye.
Akajamba ovyo kutokana na ule mvinyo wa kukumbuka damu! kama yeye!
Na
Akaongea utumbo kama anavyo ongea yeye!

Sasa we taahira MaxShimba !! Huyu mungu wako. Ni munguu au vioja!?

Au huyo mungu wako unaishi nae huko manzese!!?

Dah!wakuu kama ni hivi humu naona hapanifai,naona nakwazika tu ila ningeshauri kwamba hii kuitana mataahira mngeacha.pale mtu anapokuuliza ki2 kikakukwaza jaribu tu kujenga hoja taratibu.asanteni!
 
Last edited by a moderator:
Naona sifa za munguwako hizo hapo juu umepewa na Mtumishi Maxi

Wewe Buruburu, usikurupukie jambo kama vile umetoka usingizini!

Mambo mengi yameongelewa kwa ushahidi toka mwanzo, hatua kwa hatua, hoja kwa hoja!

Kwahivo ni vema ukasoma mabandiko ya huko nyuma ili upate majibu ya yale unayotaka kuuliza hapa! Hatuna sababu ya kurejea kukujibu ili hali majibu yapo huko nyuma.

Tafadhali soma kwa hatua upate kufahamu yale uliofichwa. Ahsante kwa kuja!
 
Last edited by a moderator:
Sasa hebu tizama hili jitu lenye akili kama taahira!
Eti kwa sababu huyo nabii wa uongo amesema kuw mungu wa biblia kasema "na tuumbe kwa mfano wetu" !!
Huyu mwenye matatizo ya akili MaxShimba anasema. Huyo mungu ana sifa kama yeye!

Yaani anakula!.kiti moto kama yeye!
Akanya! Mavi ya kiti moto! Kama yeye.
Akajamba ovyo kutokana na ule mvinyo wa kukumbuka damu! kama yeye!
Na
Akaongea utumbo kama anavyo ongea yeye!

Sasa we taahira MaxShimba !! Huyu mungu wako. Ni munguu au vioja!?

Au huyo mungu wako unaishi nae huko manzese!!?

Mkuu kahtaan, huyu mchungaji MaxShimba bila shaka sasa anachanganyikiwa.

Maswali yake yanachekesha sana tehe tehe tehe!

Tumsamehe bure kwa kuidhalilisha dini yake!
 
Last edited by a moderator:
Wewe Buruburu, usikurupukie jambo kama vile umetoka usingizini!

Mambo mengi yameongelewa kwa ushahidi toka mwanzo, hatua kwa hatua, hoja kwa hoja!

Kwahivo ni vema ukasoma mabandiko ya huko nyuma ili upate majibu ya yale unayotaka kuuliza hapa! Hatuna sababu ya kurejea kukujibu ili hali majibu yapo huko nyuma.

Tafadhali soma kwa hatua upate kufahamu yale uliofichwa. Ahsante kwa kuja!

Mkuu Izz huyu Buruburu ndio wale wanao dandia treni kwa mbele!
Teh teh teh teh !

Sasa huyu utamuanzia wapi!
Hii si hasara tu!

Tunamuimba Mungu awaonyeshe ukweli hawa wenzetu!

Amin.
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: Izz
Mkuu sasa ndio umeamua kufunga mjadala. Hakuna mfuasi wa dini ya kimanga mwenye uwezo wa kupinga hii misumari ya moto.

Allah yupo wapi aje kukujibu? Naoma wafuasi wake wanachungulia hii post na kukimbia nduki
Sio kwamba hakuna wa kukujibu,wengi tumeshagunduwa umeshaelewa,ila waleta ubishani wa kijinga,mtu akikwambia nyoka hana miguu,ndio nyoka kawa kiwete?Huwezi kumuita nyoka ni kiwete,hiyo ni asili yake nyoka kutokuwa na miguu,ukiambiwa jogoo hana macho,utasema jogoo ni kipofu?Huwezi kumuita ni kipofu kwa sababu ana njia zake za kuonea,samaki hana miguu,huwezi mwita ni kiwete ni asili yake hana miguu.Anapokuja mtu akamwita nyoka ni kiwete,au jongoo ni kipofu,mtu mwenye akili zake anajuwa w
azi huyu anayemwita nyoka kiwete,ima atakuwa hana akili,au amechanganyikiwa.
 
  • Thanks
Reactions: Izz
Ukimuona mtu,anafahamishwa kitu fulani,hakifanani na kitu fulani,halafu ataka afananishe na kile kitu kisichofanana na kitu hicho,ujuwe katika ubongo wake kuna matatizo,au udogoni aliathirika na jambo fulani,lisilo lakawaida,wengi ambao utotoni walelewa kikatili,au kuishi maisha ya mazingira magumu,wakiwa wakubwa uelewa wao unakuwa mdogo sana.
 
Umeshafahamishwa kama Mungu hafanani na kitu chochote,warudi tena wasema hana macho ni kipofu,hana mikono ni kiwete,hana mdomo ni kiziwi.Unamfananisha na kitu ulichoambiwa hafanani nacho,ni kama uambiwe meli haina matairi,wataka meli uifananishe na gari,uwaze kusema itakuwa ina pancha,au imepiga basti tairi,wakati umeshaambia meli ndio muundo wake haina matairi,sasa hiyo pancha itapatikana vipi.Matunda ya shule za kata,ndio mana ziro kila miaka zaongezeka.
 
  • Thanks
Reactions: Izz
Dah!wakuu kama ni hivi humu naona hapanifai,naona nakwazika tu ila ningeshauri kwamba hii kuitana mataahira mngeacha.pale mtu anapokuuliza ki2 kikakukwaza jaribu tu kujenga hoja taratibu.asanteni!
Sir Mimi nadhani ushauri wako ungeanzia kwa huyo mchungaji muongo aliyejipa cheo cha "rafiki wa Mungu" MaxShimba ambae anamtukana Mungu kila siku.

Hakuna thread yake hata moja isio na kashfa na matusi!
Na elimu yake ni ndoogo mno kuhusu biblia!

Anadandia andiko kama mtu anavyodandia daladala!

Ukimbana kwa hoja tu! Anatumia silaha za walevi na wehu ambayo ni " matusi".

Halafu ana ka tabia ka kuuliza watu " do you know me?!?!

He just forget that He is one pathetic individual who makes a living out of lying! And mentally unstable who need an agent psychiatric help?!

One minute he says "A" and 5 minute's LATER he ask " who say "A"?? I said "B".

Halafu wanao jiita wakiristo. Wamekaa kimya wakimtizama akimtukanisha Yesu na MUNGU humu ndani ya JF!

Sasa kama hakuna mgalatia wa kumfundisha nidhamu! Tuko sisi tunaompenda Yesu kwa vitendo! Na sio maneno tu!

Tutauonyesha umma wote. Utumbo anao ubuni na kumkashifu MUNGU MKUU na YESU aliye mtuma!

Kwa hivyo itabidi jamaa yangu uvumilie tu anapo fundishwa adabu yule ambae kwa bahati mbaya mafundisho hayo hakuyapata kwa wazazi wake.!

Dawa zingine" chungu"
Wakati mwingine inabidi uume meno dawa ikiwa inaingia!!
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: Izz
kahtaan inaonekana hujasoma ukaielewa post yamgu uliguote hapo juu
'
Nimesema kuna Mungu wa kweli mmoja tu alieumba mbingu na dunia na vilivyomo
'
Lakini kwa mujibu wa BIBLIA,Mungu huyo ni Yehova tu
'
Kama ni hivyo wengine wote wanaabudu miungu ya uongo akiwemo Allah
'
Hivyo kama Yehova ndie aliyeumba kila kitu ukiwemo na wewe na mimi hii ni wazi Allah ni mungu wa uongo na hajaumba chochote,ni sawa na wale wanaoabudu miti au jua
'
Quran imeandikwa na Mohammad na hakuwahi kukutana na malaika YOYOTE,hivyo Allah does not exist na kama ni hivyo,hajawahi kuumba chochote
'
Yeyote anaeabudu mungu tofauti na Mungu wa kwenye biblia anaabudu false god kwa kuwa Mungu wa biblia ndo anaexist na anazungumza na watu wake hadi leo,miungu mingine iko kimya kwa kuwa HAIPO
'
Hiyo ni kwa mujibu wa maandiko matakatifu ya BIBLIA
'
Uliza jingine!

mungu wa biblia amezaa,amepata mtoto,itakuwa alizeeka,sasa itakuwa kafa,kila kinachozaa lazima kife,kwa hiyo ni kwamba sasa hayupo.
 
Last edited by a moderator:
Sio kwamba hakuna wa kukujibu,wengi tumeshagunduwa umeshaelewa,ila waleta ubishani wa kijinga,mtu akikwambia nyoka hana miguu,ndio nyoka kawa kiwete?Huwezi kumuita nyoka ni kiwete,hiyo ni asili yake nyoka kutokuwa na miguu,ukiambiwa jogoo hana macho,utasema jogoo ni kipofu?Huwezi kumuita ni kipofu kwa sababu ana njia zake za kuonea,samaki hana miguu,huwezi mwita ni kiwete ni asili yake hana miguu.Anapokuja mtu akamwita nyoka ni kiwete,au jongoo ni kipofu,mtu mwenye akili zake anajuwa w
azi huyu anayemwita nyoka kiwete,ima atakuwa hana akili,au amechanganyikiwa.

Mkuu Kikwajuni one, ahsante kwa kumuongeze uelewa!

Kwa mifano hiyo michache, atakua ameelewa barabara!

Ahsante mkuu, tuendelee na daawa kwa wengine!
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Izz huyu Buruburu ndio wale wanao dandia treni kwa mbele!
Teh teh teh teh !

Sasa huyu utamuanzia wapi!
Hii si hasara tu!

Tunamuimba Mungu awaonyeshe ukweli hawa wenzetu!

Amin.

Hahahaha nawe kumbe umemuona enhe?!

Kakurupuka tu bila kujua watu wametokea wapi katika kuchangia!
 
Last edited by a moderator:
Umeshafahamishwa kama Mungu hafanani na kitu chochote,warudi tena wasema hana macho ni kipofu,hana mikono ni kiwete,hana mdomo ni kiziwi.Unamfananisha na kitu ulichoambiwa hafanani nacho,ni kama uambiwe meli haina matairi,wataka meli uifananishe na gari,uwaze kusema itakuwa ina pancha,au imepiga basti tairi,wakati umeshaambia meli ndio muundo wake haina matairi,sasa hiyo pancha itapatikana vipi.Matunda ya shule za kata,ndio mana ziro kila miaka zaongezeka.

Kwa hasielewa hapa tena basi, mtu huyo hatasijui tumpe jina gani?
 
Mkuu Kikwajuni one, ahsante kwa kumuongeze uelewa!

Kwa mifano hiyo michache, atakua ameelewa barabara!

Ahsante mkuu, tuendelee na daawa kwa wengine!

Haya ndio Matunda ya shule za kata,unamfahamisha mtu,kwamba kitu fulani haikifanani na kitu fulani,sasa atataka vile vilivyopo kwenye kitu kingine viwepo kwenye hiki kisichofana nacho.
 
Last edited by a moderator:
Yesu alituambia wazi wazi kwamba, hakuleta amani kati yetu bali mafarakano, LUKA 12:51-53
 
kahtaan ,kama utaibishia hiyo post yangu hapo juu unatakiwa uthibitishe kwa ushahidi kuwa Yehova ndie Allah
'
Kama utaendelea kubisha hadhara ya JF itakushangaa sana kwa kuwa unataka kulazimisha mungu wako awe mungu wa wengine kitendo kinachomfanya awe dhaifu kwa kuwa ili akamilike ni lazima amfananishe na mungu wa watu wengine!

Eiyer nadhani hii itakuwa mara ya mwisho kusema hii kauli.
Ni kwamba uislamu ni dini ambayo ina wafuasi zaidi ya bilioni1.7 na hii dini haina haja ya kumfananisha MUNGU WAKE NA DINI YOYOTE ILE!.
Hapo katika malumbano yetu. Nilikuwa najaribu kukuelezea kuwa haiwezekani kukawa na MUNGU zaidi ya mmoja. Lakini naona mwenzangu kila nikikueleza .badala ya kujenga hoja unarudiarudia kusema kuwa huyo YEHOVA ndio wa kweli na ALLAH ni wa uongo!!
Na hujaniona mimi hata siku moja nikakwambia huyo unaemuabudu wewe ni wa uongo!
Why!?!
Kwa sababu ulikubali kuwa UNAAMINI MUNGU MMOJA!
Na mimi sina haki yyt ya kumuita huyo MUNGU MMOJA NI WA UONGO.
Sasa labda nikuulize swali la msingi kabisa hapa!
Eiyer kama ujuavyo elimu ni bahari na mimi nimekwambia kuwa nimejifunza biblia miaka 4 kwa ajili ya kutafuta elimu.
Je! Wewe umeshawahi kusoma quraan kwa ajili ya kufahamu kilichomo humo??
Kabla ya kuendelea na malumbano haya naomba unijibu hili swali.
Thank you.
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: Izz
kahtaan ,nilikujibu kutokana na swali lako,uliniuliza nani kaumba kila kitu
'
Siwezi kukujibu kimkato tu lazima nikupe na maelezo,sory kama nimekukwaza
'
Ki ukweli,ninachotaka watu waelewe hapa ni kuwa,Mungu wa kweli ni MMOJA TU,kama Mungu huyo ni mmoja atakuwa na jina lake moja ambalo ni Yehova TU,hawezi kuwa na majina mawili
'
Kama huyu ndie wa kweli ndie atakuwa MUUMBAJI hakuna mwingine
'
On the other side kuna Quran,Quran inadai kuwa Mungu wa kwenye biblia ndo huyohuyo aliyeleta Quran hivyo wanaoifuata lazima waikubali Injili
'
Hapa kuna matatizo makubwa yafuatayo
Kama Mungu ni yuleyule kwanini majina yake yawe tofauti?Allah na Yehova ni majina yaliyotokana lugha tofauti na hayana maana moja,kila jina linawilisha kitu tofauti,Kwanini?
'
Kwenye Quran kuna Isa,huyu hakufa na ni nabii wa Allah na alikuja kwa ajili ya Waisraeli tu
Kwenye Biblia kuna Yesu huyu alikufa msalabani,ni MWANA Wa MUNGU na ni MUNGU,ndie aliyeumba VYOTE,alikuja kwaajili ya ulimwengu wote na ndie atakaeuhukumu ulimwengu.
'
Hawa Isa na Yesu ni watu wawili tofauti kuanzia majina hadi majukumu yao
'
Hapa tunaona kuna tofauti kati ya Mungu wa Biblia na Quran
'
Kwanini Quran iseme ni huyo huyo mmoja?
'
Hapa kuna mambo mawili
'
Moja;Quran imedanganya
Pili;Mwandishi wa Quran alijaribu kuifananisha na Biblia kitu kinachomfanya mwandishi huyo asiwe Mungu kwani Mungu hakosei!

wakristo wengine wana vitabu vingine saba tofauti vya bibilia,katka matoleo nje ya ya idadi ya biblia za kiebrania,
wakristo wa kwanza walitumia tafsiri ya kigiriki,iliyotokana na ya kibrania,
Tafsiri hiyo inayojulikana Septuaginta ,wapo wakristo walioikataa.
Na wapo walioendelea kuitumia hiyo Septuaginta
kanisa katoliki limekubali vitabu saba,ZSIZO SEHEMU YA ORODHA YA KIEBRANIYA,na makanisa ya kiorthodox wamevikataa vitabu hivyo,na wanatumia kitabu cha tatu cha tatu cha Makabyo na nyongeza ya vitabu vitatu vingine.
Na kuna agano jipya na agano la kale,na kila madhehebu yana vitabu vyake
Sasa muandishi wa quran,kama unavyodai ww ameigizia katika katika biblia ni biblia ipi ameigiza?
 
Last edited by a moderator:
While there are a number of version to the bible.There 8 primary versions found in history.
SEPTUAGINT -250 CE IN WRITTEN IN GREEK
VULGATE-400 CE
LUTHERS 1534 CE
KING JAMES VERSION -1611 CE,This the most widely used version,however it has large number ot errors
RIVISED STANDARD VERSION
NEW INTERNATIONAL VERSION
JERUSALEM BIBLE
NEW REVISED STANDAD 1990
Kati ya hizo ,mwandishi wa quran,kama unavyodai kakopi,ipi kati ya hizo?
 
kahtaan ,nilikujibu kutokana na swali lako,uliniuliza nani kaumba kila kitu
'
Siwezi kukujibu kimkato tu lazima nikupe na maelezo,sory kama nimekukwaza
'
Ki ukweli,ninachotaka watu waelewe hapa ni kuwa,Mungu wa kweli ni MMOJA TU,kama Mungu huyo ni mmoja atakuwa na jina lake moja ambalo ni Yehova TU,hawezi kuwa na majina mawili
'
Kama huyu ndie wa kweli ndie atakuwa MUUMBAJI hakuna mwingine
'
On the other side kuna Quran,Quran inadai kuwa Mungu wa kwenye biblia ndo huyohuyo aliyeleta Quran hivyo wanaoifuata lazima waikubali Injili
'
Hapa kuna matatizo makubwa yafuatayo
Kama Mungu ni yuleyule kwanini majina yake yawe tofauti?Allah na Yehova ni majina yaliyotokana lugha tofauti na hayana maana moja,kila jina linawilisha kitu tofauti,Kwanini?
'
Kwenye Quran kuna Isa,huyu hakufa na ni nabii wa Allah na alikuja kwa ajili ya Waisraeli tu
Kwenye Biblia kuna Yesu huyu alikufa msalabani,ni MWANA Wa MUNGU na ni MUNGU,ndie aliyeumba VYOTE,alikuja kwaajili ya ulimwengu wote na ndie atakaeuhukumu ulimwengu.
'
Hawa Isa na Yesu ni watu wawili tofauti kuanzia majina hadi majukumu yao
'
Hapa tunaona kuna tofauti kati ya Mungu wa Biblia na Quran
'
Kwanini Quran iseme ni huyo huyo mmoja?
'
Hapa kuna mambo mawili
'
Moja;Quran imedanganya
Pili;Mwandishi wa Quran alijaribu kuifananisha na Biblia kitu kinachomfanya mwandishi huyo asiwe Mungu kwani Mungu hakosei!
Biblia ziliandikwa baada ya kuondoka Yesu,Yesu hakuwahi kuiona biblia,wala kuisoma,wala kuishuhudiya,
Yesu alikufa kati ya 29 na 36 AD ,na biblia ya kwanza imeandikwa 250 CE,huoni hapo ni utata mkubwa.Yaani miaka 214 ilipiita ndio bible ya kwanza inaandikwa,je hao waandishi tutawaamini vipi waliyoandika ndiyo ya Yesu kweli?
Wakati qurani tunashuhudiya mwenyew Mtume Muhammad (peace be upon him),anaitamka mbele ya wafuwasi wake,na kuandikwa kwenye ngozi za wanyama,wakati yuko hai.
 
Last edited by a moderator:
The bible was written by aproximately 40 men of DIVERSE BACKGROUNDS.
ISAIYA was a prophet
EZRA was a priest
MATHEW was a tax collector
JOHN was a fisherman
PAUL was a tentmaker
MOSES was a shepherd
LUKA was a physician etc
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom