Lakini mkuu kweli Imani yako hailazimishi wengine kuifuata?unapomkosoa Mkristo kumwambia et'anatoa kashfa kwamba Mungu ana mtoto ambapo nikitu anachokiamini huoni kwamba ww ndie unaemkashfu Mkristo?coz yy ameshaamini hivyo nakishakua radhi kwamba hata akifa leo hatapoteza ki2 kwakuamini hivyo,ss kuwaje unasema anamkashfu Mungu wake?unataka kuniambia kwamba unamuonea huruma kwa upotevu wake!au unataka kutuaminisha kwamba Mungu wenu amewapa kazi yakuwapinga nakuwakosoa wale wanosema kwamba ana mtoto,unadhani Mungu wakweli atakipa kikundi cha watu ambao nao wana dhambi(kumbuka dhambi zipo kwa wote)kuwakosoa wenye dhambi wenzao kwakusema ana mtoto,kama kuna Mungu anaesema hivyo(1)Mungu huyo nidhaifu(2)Mungu huyo hajiamini kwamba anaweza kuwasimamia watu aliowaumba hadi kuwapa wengine wao kumsaidia kazi hiyo na(3)Mungu huyo haku-plan mapema nanma yakuwasimamia wale alowaumba akaja kushtuka mda ushaenda yakwamba alisahau kusema kwamba hana mtoto,nakazi yakupinga hilo akawapa wana'adam ambao ni nyie kitu ambacho hakiwezekani!naamini Mungu hana haja yakusaidiwa kuhukumu kuhusu hiki au kile kwani wote mimi,Max,Khaatan Eiyer nawengineo wote niwake na anauwezo kututwaa mda anotaka,so!tukishafika kwake yy ndiye atatuhukumu mimi kwakusema ana mtoto,ww vinginevyo atavyoona inafaa!tuache watu waamini wanavyoamini kubishana kwingine hakuna maana!
Mkuu
Sir Mimi rejea maelezo yangu hapo juu!.
Nasema kwa mara nyingine! HAKUNA MWISLAMU ANARUHUSUSIWA KUMLAZIMISHA MTU KUABUDU ANACHO ABUDU YEYE!.
Na hii ni amri!
Haturuhusiwi kufanya hivyo! ILLA!
Mtu atakapo sema UONGO juu ya MUNGU ni wajibu wangu na mwislamu yyt kusema!.
Na suala la kuwa kuna MUNGU zaidi ya Mmoja halipo.!
MUNGU MKUU NI MMOJA TU!.
Hilo watu watake wasitake!
Na kusema kuna MUNGU MKUU anaitwa "YEHOVA" na mwengine anaitwa "ALLAH". Hii ni njia ya kupotosha watu!
Tunakubali kuwa kuna watu wanaabudu miungu wa uongo wengi tu. Lkn hao miungu hawana sifa hatta moja ya MUNGU MKUU.
Sasa tukija kwenye moja ya sifa ya YEHOVA tunakuta wakristo wanasema, YEHOVA NDIO MUUMBA WA MBINGU NA DUNIA!
Hii ni sifa ya MUNGU MKUU PEKE YAKE!
miungu wa uongo hawana sifa hii.
Sasa ukisema huyuhuyu YEHOVA ANA MTOTO! hapo ndipo unapo sababisha watu kama mimi kudiriki kukuita muongo!
Kwa sababu MUNGU MUUMBA HANA SIFA PUNGUFU YA KUWA NA MTOTO!.
Sifa ya kuwa na.mtoto ni sifa ya viumbe sio MUUMBAJI!.
NA biblia pamoja na quraan vinathibitisha hivyo kama nilivyoonyesha huko nyuma!
Angalia mfano wa wahindu!
Mungu wao "ng'ombe" hana sifa ya MUNGU MMOJA!.
Sifa za huyu mungu wao ni kutoa maziwa na kuleta faida za ki dunia tu.
Na hizi ni sifa za viumbe vya mungu!
Kwa hiyo huwezi kuona mimi au muislamu anae ijua dini yake akaongelea suala la huyo ng'ombe!
Lakini wakianza kusema kuwa huyo ng'ombe anaweza kuumba! Basi hapo ndipo watakuwa wamelazimisha wale! Waumini wa MUNGU MMOJA kuwakemea na kuwakataza wasiseme uongo juu ya MUNGU MMOJA!.
Na suala hapa si eti! Kuwaonea huruma wakristo au kumtetea MUNGU wakati yeye anauwezo wa kujitetea mwenyewe!
Watu wanabadili maandiko ya MUNGU kwa faida za kidunia!
Hapo mwanzo tunajifunza ktk DINI KUU ZOTE kuwa kulikuwa na vitabu vikuu vya MUNGU VI NNE (4) TU.hakuna cha tano.
Na hivyo ni
ZABURI ya David
TAORATI ya moses.
INJILI(GOSPEL) ya Yesu
NA QURAAN ya Muhammad (s.a.w)
Vitabu vyote vimebaki kuwa na asili ileile ya UMOJA TU! isipokuwa INJILI (Gospel)!!
Leo tuna jumla ya main Gospel
(biblia) 52 DUNIA!
Na kila moja inadai kuwa ndio sahihi!
SASA WEE JIULIZE KTK HIZI 52 IPI NI YA YESU!
Na sisi hata kama zitakuwa 100! Hazitupi shida!
Ila tu! ZISIANDIKE UONGO JUU YA MUNGU MMOJA!
Ktk Agano la kale! AMBAPO manabii wa uongo kama PAULO hawakuchangia chochote. MUNGU ALIBAKI KUWA MMOJA! Na heshima zake akapewa!
Na AKABAKI NA SIFA ZOOTE ZA UUNGU!
Kwenye Agano jipya;
Huyo MUNGU WA PEKEE. akaanza kula kama mtu. Akapewa watoto. Halafu akasulubiwa. Halafu akapigwa mawe. Akatemewa mate! Akadhalilishwa kiasi cha kupitiliza!
Tukiuliza je! Ni sababu gani MUNGU ANAKUBALI KUDHALILISHWA KIASI HIKI NA VIUMBE WAKE!??
Tunaambiwa na Hao waliojipa Vyeo Vya UNABII kuwa
"huyo MUNGU amekubali kudhalilika ili dhambi za
Eiyer na
Sir Mimi na
MaxShimba na
kahtaan na
Kikwajuni one na
Izz na wafanya dhambi wengine wakiwemo WABAKAJI NA WANAO NAJISI WATOTO WADOGO NA WAUWAJI NA MASHOGA NA WASAGAJI! woote hao. DHAMBI ZAO ZAO ZISAMEHEWE!
Alla! Mbona tunamkosea adabu mungu kiasi hiki!??
Yaani MUNGU ADHALILIKE KWA SABABU ZA KIPUUZI KAMA HIZI?!?! KWELI??!
Halafu mtu anakuja kusema" huyo si Mungu wako. Ni wa kwangu!!!
We unadhani MUNGU MWENYE SIFA ZA UUNGU NI KAMA GARI!
Utasema huyu wa kwangu na huyo wa kwako?!?!
Mtageuza majina na lugha. Lakini mjue yeyote mtakaempa sifa za MUNGU MKUU. Mjue ni mmoja tu kwa walimwengu wote..
Na mkisema uongo juu yake mtaambiwa.
Asanteni kwa kusoma.