Jamani Husninyo Kapotelea Wapi?

Jamani Husninyo Kapotelea Wapi?

Aiseee baba yangu huyu jamaaa mgeni kwangu simfahamu
 
Sijui anamsaidia yule mjamzito? C unajua ana bed rest?
 
Husninyo anapiga kitabu mahali fulani,
kama unamtaka ni m-pesa nitakupeleka alipo.
 
Si aliaga kwa hiyo atarudi muda si mrefu!
 
kaka Judgement,
nakumbuka wewe ndie mhanga mkuu (MGANE)
tupiamo hapa!
 
Last edited by a moderator:
kaka Judgement,
nakumbuka wewe ndie mhanga mkuu (MGANE)
tupiamo hapa!.
 
Last edited by a moderator:
moyo wangu unaumia sana kutomuoana pande hizi. sijui yuwapi. mia
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom