Shida na raha
JF-Expert Member
- Aug 8, 2014
- 3,773
- 3,474
Wakuu habari zenu.
Kuna ujumbe wa airtel wamenitumia sasa sijui ni kweli au ni kutafuta njia nyingine ya kutapeliana?
Na hiyo namba ni ya kweli???
Watu wa airtel em wekeni wazi kwa hili.
Kuna ujumbe wa airtel wamenitumia sasa sijui ni kweli au ni kutafuta njia nyingine ya kutapeliana?
Na hiyo namba ni ya kweli???
Watu wa airtel em wekeni wazi kwa hili.