jamani hivi ni mm au na kwa wengine?

Loreen

Senior Member
Dec 24, 2011
110
32
habarini, jamani ninapata kila ki2 kwenye maisha but cjapata mapenzi ya ukweli nifanyaje?:shock:
 
habarini, jamani ninapata kila ki2 kwenye maisha but cjapata mapenzi ya ukweli nifanyaje?:shock:

zidi kumuomba Mungu atakupa wakwako amin hujampata wa kwako vuta subira kuwa makini na kaka zetu wana maneno mazuri lakini vitendo ni 0,take care
 
habarini, jamani ninapata kila ki2 kwenye maisha but cjapata mapenzi ya ukweli nifanyaje?:shock:

Dah!!!!!!.................... aiseee sijui nikusaidie vp yani. ila nikwambie kitu unaezekana ukawa c safi ndo maana hupati anaekufaa. usikate tamaa endelea kukomaa ipo siku utampata unaemtaka kama c hapa kwa jakaya basi hata kwa mr ob unaeza ukapata. mi nakuombea na ukimpata usinisahau.
 
Ni kipindi cha mpito, kuwa na subira,kwani huwezi sihi bila mwanaume hata kwa muda tu? si juzi tu umeachana nae??

Tulia bwana, ukiwa desperate hivi haipendezi hata kwa potential partners!
 
habarini, jamani ninapata kila ki2 kwenye maisha but cjapata mapenzi ya ukweli nifanyaje?:shock:

Aso kuwa na hile ana lile, una kila kitu isipokuwa mapenzi na kuwa wasio na chochote ila mapenzi.

Mshukuru Mungu kwa kila jambo na andelea kuomba Mungu labda atakufungulia mlango wa penzi akunyang'anye huo wa kila kitu... view it that way.
 
kwa sababu unahangaika kutafuta mapenzi,we tulia yatakuja yenyewe.wazungu wanasema u cannot catch a butterfly by chasing after it but if u stand still it will come to u
 
jamani jamani mwenzenu hajataka ndege wala meli wala gari hata baiskeli kilio chake penzi la kweli tuuu, basi hata Hilo hapati? Usijali mrembo vuta subra inshallah mwenyezi mungu atakupa mwenye kheir na weye, awe kipofu nikisema kipofu simanishi asiona Namanisha asione mwengine zaidi yako...
 
mapenzi ni ugonjwa wa wenye shibe
ungekuwa na nja wala mapenzi usingeyafikiria saana
 
Dah!!!!!!.................... aiseee sijui nikusaidie vp yani. ila nikwambie kitu unaezekana ukawa c safi ndo maana hupati anaekufaa. usikate tamaa endelea kukomaa ipo siku utampata unaemtaka kama c hapa kwa jakaya basi hata kwa mr ob unaeza ukapata. mi nakuombea na ukimpata usinisahau.

Tatizo dadazete sikuhz mapoz yamewazidi, mpaka 2nawaogopa kuwafuata hata kama 2nataka kiukweli.
 
Back
Top Bottom