mi nilidhani unapatwa na kiu ya gafla?
mi nilidhani unapatwa na kiu ya gafla?
mambo Heaven on Earth?mie nikiona hiyo yako natamani nifunike mafaili ya mkolon nikapate moja moto
mi nilidhani unapatwa na kiu ya gafla?
mkuu hongera sana...mimi mwaka 2014 nasimama kwa mwaka mzima ili niweze kufanya analysis ya maendeleo kwa ukaribu..nadhani ntakua nakutafuta kwa ushauri wa karibu ili niweze follow your footstepsAcheni kunywa hayo makitu, mimi nimethubutu (kuacha) nimeweza na ninasonga mbele ile kinoma!