Jamani hii kitu ni ndege ama nini

Hahahaaa! Mkuu hizo ni ndege za kawaida tu, Seema zinapita anga la kimataifa(nyingine huwa ni za mizigo)

Mzee alikupiga kamba tu.
Anga za kimataifa ndio zipi hizo?
 
Kwa uelewa wangu huu mdogo, ila wanaojua zaidi watasema hii ni Ndege Kasi aina ya Concorde ambayo kwa Afrika inatua tu Cairo na Cape Town.
Mkuu concorde hazipo tena wakati huu, zilishapumzishwa milele kutokana na majanga yaliyoletwa na hizo ndege.
 
Nimesubscrube huu uzi. Ahsante JF.
 
Kuna documentary niliona pilot ali land airpot fulani bila habari ya ATC kwa dharura ya mgonjwa.

ATC alipitiwa na kukawa hakuna mawasiliano kati yake na pilot. Pilot aliamua ku risk na ku land.
 
Kuna documentary niliona pilot ali land airpot fulani bila habari ya ATC kwa dharura ya mgonjwa.

ATC alipitiwa na kukawa hakuna mawasiliano kati yake na pilot. Pilot aliamua ku risk na ku land.

You mean TAA sio ATC right?
 
Hahahaaa! Mkuu hizo ni ndege za kawaida tu, Seema zinapita anga la kimataifa(nyingine huwa ni za mizigo)

Mzee alikupiga kamba tu.
Kwani nyingine huwa zinapita anga la wapi mkuu
 
Mbona hyo ni ndege ya kawaida tu. Hapo imepita eneo ambalo halina upepo ndiyo maana moshi wake unaonekana katika hali hiyo. Ikifika maeneo yenye upepo, huo moshi utawanyika na haufanyi mstari kama unavyoonekana.
 
Iyo ni ndege imepita kwenga zone ya baridi Kali ivyo injini inapotoa joto kali ikikutana na barid inatengeneza mvuke ndio huo moshi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…