Herbalist Dr MziziMkavu
Platinum Member
- Feb 3, 2009
- 43,067
- 34,829
Hapa lazima mate yawajae midomoni.....uongo?
![]()
Kweli kabisa!
Kwa nini akina mama mkiwa na nanihii mnapenda sana hii kitu?
Kwa nini akina mama mkiwa na nanihii mnapenda sana hii kitu?
Kwa sababu ni chachu chachu (ina ugwadu) hivyo inasaidia kupunguza kichefuchefu.