Duh... huyo mke... hapendi utamu???[emoji13]Hawa Jamaa hawaangalii wewe ni nani ukiharibu tu wanakupa Kubwa na inatambulika sio kwamba ni blabla.
Kuna Jamaa aliazima CD ya blue akaanza kumshirikisha wife zile sarakasi za kwenye CD wife akashtaki kwa wazee Jamaa akachezee 70 ahahahahaha.
Chezea wameru nenda vijijini kwao umevaa mlegezo uone!
Hapana sio lazimaTena kwa wamaasai ole wako kijana ukutwe hujavaa yale marubega yao na fimbo na sime huna utakoma ubishi utapelekwa kwenye jumuia yao utapata viboko vya kutosha ukitoka hapo akili zinakurudi nimeipenda hii ingekuwa kwa makabila yote maadili yangekuwepo
Nilishapwagwa viboko 30 mkuu,enzi hizo nilizingua kidogoMkuu wewe kama sio wa seela basi ni akheri, nasindiswa ndu wakweru!
Kwa kuwa mbunge wao ni rika hilo aje hapa atuambie km anakubaliana na hii,Nimeitoa mahali tu...
Binafsi mi sikubaliani na hili kabisa.
Kamati ya maadili ukoo wa Urio Meru kijana akitumikia viboko 70 vya makalio baada ya kutohudhuria msiba wa ndugu yake akaenda kufanya kazi yake ya bodaboda Tengeru, Arusha
Mkuu baasi itakua unamfahamu dokta Molel, yule pale dispensari alikua anaweka mkono mmoja mfukoni na kasuzuki kake keupe!Hahah hii akheri mkuu,nimecheka sana daah.
Jaribu kupita pale Kwa Fundi mbele kidogo ya Tengeru ukiwa umevaa mlegezo halafu uletee mrejesho hapa.Ntakachowafanyia hapo hawatakaa wakasahau maisha yao yote
Unapajua Mara wewe?au Musoma,Tarime,Sirari,unapajua???Jaribu kupita pale Kwa Fundi mbele kidogo ya Tengeru ukiwa umevaa mlegezo halafu uletee mrejesho hapa.
Hawa Jamaa hawaangalii wewe ni nani ukiharibu tu wanakupa Kubwa na inatambulika sio kwamba ni blabla.
Kuna Jamaa aliazima CD ya blue akaanza kumshirikisha wife zile sarakasi za kwenye CD wife akashtaki kwa wazee Jamaa akachezee 70 ahahahahaha.
Mkuu baasi itakua unamfahamu dokta Molel, yule pale dispensari alikua anaweka mkono mmoja mfukoni na kasuzuki kake keupe!
Mkuu wewe kama sio wa seela basi ni akheri, nasindiswa ndu wakweru!
Nimeitoa mahali tu...
https://scontent-amt2-1.xx.fbcdn.net/v/t1.0-9/15355779_1355343464509026_8834230546945906487_n.jpg?_nc_eui2=v1%3AAeGfmsex-7A59ZLtT0fzOGuBO2tihxNpbnsCsSuyVTJpciGJAvlK29i2Jwd6xFpJ-DLM9zeJVMiaZZvTRvW9dlmHlv_GGCyxV
unakula sabini na huwa hatuangaliagi afya!
Haha naare ndu? Dokta yuko wapi aisee?Kwasindiswa soori!!
Haha naare ndu? Dokta yuko wapi aisee?
Sawa mkuu , one among the best doctors! Yule hana vipimo vikali vya maabara lakini matibabu yake ni very accurate! Aisee nakumbuka mengi sana kuhusiana na huko meru! Kwa kifupi nimeona na kujifunza Mengi!Alihama mda mrefu sana,kwenye miaka ya 2005.
Sawa mkuu , one among the best doctors! Yule hana vipimo vikali vya maabara lakini matibabu yake ni very accurate! Aisee nakumbuka mengi sana kuhusiana na huko meru! Kwa kifupi nimeona na kujifunza Mengi!
Hahah Dr.Mollel alikua maarufu sana,ni muda mrefu sana sijamuona nadhani alihamu mkuu.Vp ulishawahi kuishi mitaa yetu hii mkuu.Mkuu baasi itakua unamfahamu dokta Molel, yule pale dispensari alikua anaweka mkono mmoja mfukoni na kasuzuki kake keupe!
Huna maana kabisa,ulishindwa kumtetea jamaa yako,,,?Hawa Jamaa hawaangalii wewe ni nani ukiharibu tu wanakupa Kubwa na inatambulika sio kwamba ni blabla.
Kuna Jamaa aliazima CD ya blue akaanza kumshirikisha wife zile sarakasi za kwenye CD wife akashtaki kwa wazee Jamaa akachezee 70 ahahahahaha.