Jamani, hawajui au ni mazingira? (heka/hekta/eka); | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jamani, hawajui au ni mazingira? (heka/hekta/eka);

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Speedo, May 22, 2011.

 1. S

  Speedo Member

  #1
  May 22, 2011
  Joined: Feb 15, 2011
  Messages: 70
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 13
  Muuzaji wa kiwanja anakueleza kuwa ni "heka" 1 (naamini anamaanisha eka (acre)1. Ukifika eneo lenyewe ni kama mita za mraba 1000 tu wakati eka ni takriban mita za mraba 4000. Hali kama hii imenitokea kama mara 6 hapa jijini DSM.
  Je! Ni wanakosea au ni mazingira haya wanaamini kuwa eka ndio ukubwa huo?
  Nawasilisha
   
Loading...