Gily Gru
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 9,526
- 26,121
Ushawah kula Mexican food? very spicy huwezGilly hata karibu🤓
msosi wenyew kidogo😬😬😬😬
Ushawah kula Mexican food? very spicy huwezGilly hata karibu🤓
Sijawai kulaUshawah kula Mexican food? very spicy huwez
View attachment 2598483
msosi wenyew kidogo😬😬😬😬
View attachment 2598485
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hana shida huyo kwanza ni katuni [emoji1787][emoji23]
Oouh basi nyamaza usilie eehIt's a cup nilipew zawad nilivyopata kipaimara[emoji1787] sio bakuli. Nikinyw chai mnakisema moneytalk mbona nikila nyamachoma au kuku hamsemi I am very sadView attachment 2598475
Namshangaa huyu mchaga wakishumundu,hatujasema anachokula ila tumesema kilichowekewa chakulaSasa kilichoonekana hapo si chai au tumeona vibaya?
Huwa sipendi u snitch ila hii stori yako imenikumbusha couple moja ilivuma mnoo humu ila ikaja kufa ghafla .Nimekaa tu zangu home nilikuwa nimechill home basi nikaona simu nipo maeneo yenu , nikasema powa , nani jamani yule Mtu tumuite shado , humu Kuna siku Mtu alikuwa ananidis sana nawengine wakaniita Malaya , before mengine , kumbe mmenipamba sio mmenichafua.
Ilikuwa surprised sana KUONA kijana anasema ni PM nikasema ni wale wale tu nikavunga ila mwaka huu nikasema why not ngoja ni mpe tu nafasi mwana,nikamtext after 1 week akadai naomba namba ya simu , 😋🤪 nikampa , .
Almost 1 week akaja akanitext upo sehemu powa nikajibu ndio , akaanza kunicall sikupick maana nilikuwa nipo busy na kupika maandazi , HUMU JF sijawahi kupata mwanaume so unique, kind , special na anamshiko kama yeye walahi , na jingine nimeongea truth tu kuwa Hana demu na haingiagi humu mara Kwa mara na nimekaa naye tufew days charting, kweli Kuna msemo , mmoja ukitaka kitu lazima ukiget , mwana majuzi idd kaja home kwetu around 1pm saa Saba akatua kwetu sio stendi nje ya nyumba yetu nilimueleza mengi nakumpa direction sijawahi mvulia sidiria Wala Pichu but wewe ni amazing , mtoto sio mtanzania mtoto ni half american plus German bibi ni mgermany Babu muamerica , mama yake mtz weeh , bonge la handsome boy sio baunsa Wala ni tall kiasi, mweupe , na nimwembamba kaja kwetu kaulizia mama , saivi ninavyokuambia katoa kishikizo uchumba next week ndio atakuja rasmi akitoka porini tukae nimfahamu ila kasema anakuja home au mahali popote niwe na ndugu yangu au mama , .
Ili visitendeke maajabu , aoe kitu hakijui akija nitashukuru sana walahi , kaniachia mzigo wa Mimi kuenjoy ,Sasa mtajiju kama mnanichukia huku siami maana hiyo sio Moja tu watu wameleta wengine wawili posa huyu mwamba haelewi kiswahili vizuri hadi asome hii post kachoka sana ..... Mashallah nyie waislamu mmeniletea baraka jamani , ni mzuri sana sana
🤣🤣🤣Daah fwala wewe
Wapare na wanatumbi mnataka kuniamnisha kuwa hamjui vikombe vya kidhungu🤣🤣🤣namshangaa huyu mchaga wakishumundu,hatujasema anachokula ila tumesema kilichowekewa chakula
😂 anataka kutuaminisha kuwa ni utaratibu wake kula nyamanamshangaa huyu mchaga wakishumundu,hatujasema anachokula ila tumesema kilichowekewa chakula
😂😂😂 hiko kikombe kilivyoWapare na wanatumbi mnataka kuniamnisha kuwa hamjui vikombe vya kidhungu🤣🤣🤣
View attachment 2598534View attachment 2598535
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hili swala mtoto wa kiume unaanza kuambia mwanamke. Babu mjerumani , bibi muamerica mama ndio mtz. NALO LIKAANGALIWE.
Au nakosea ndugu zangu?
Mfyuuu[emoji57]Wapare na wanatumbi mnataka kuniamnisha kuwa hamjui vikombe vya kidhungu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
View attachment 2598534View attachment 2598535
We kiumbeSisi tunakuombea ikawe heri
Abee kakaWe kiumbe
😂😂Sasa ndio unianzishie uzi kabisa!!