Vocal Fremitus
JF-Expert Member
- Oct 20, 2016
- 1,353
- 6,977
- Thread starter
-
- #21
Ofcuz nimeingia gharama mkuu ila hazizidi 1.5mil. Ndio maana nataka niweke ndani kabisa kupunguza cost na kupush forward maendeleo.Miezi mi3 unataka umpangie chumba na umeshalipa nauli elfu 80 kwa wiki 12 bado kuna hela zingine nyingi tu umepigwa ila kwa aibu huwezi kuzisema.
Utaliwa sana hela hapo we endelea kusema nimetaka kumuacha analia, kulia kwenyewe tukikuuliza umemuona kwa macho yako akilia? Utatujibu alikutumia Emoji
Ila papuchi unatoa fresh kabisa, na unataka uhudumiwe hadi hela ya kula, kusuka, kodi ya chumba. Yaani unatoa huduma zote za mke, na unapewa huduma zote za mke, ila hutaki tu KURASIMISHA hiyo hali ya kuitwa mke. Wewe ni nani?
Tatizo lako sio kuolewa, bali kurasimisha kuolewa. Maana kama unahudumiwa hadi hela ya kula, na unatoa papuchi kiroho safi, hapo ni umeolewa kibubu-bubu tayari.Kwan kuolewa ni lazima bhana kwangu mm ni un necessary
Solution hapo ni kumtia block tu maana hata ukimkalia kimya anazidi kusumbua sumbua tu.Anataka akupige na kitu kizito KICHWANI huyo usimwambie muachane wewe ingia mitini kimya kimya
Kumbuka ao wamekutana miez mi 3 tu then mnapokutana watu wawili kumbuka kuwa kila mtu alkuwa na malengo yake binafsi sio rahisi tu mtu aache yake afate yako maisha yamechange kila mdada nahtaji kujijenga wew kma huwez kumpa ela basi tafta mwingine mnaeendana sio wote wako ivoHapa ndio tunapojua kwamba afya ya akili ni Noma Sana.....msipo olewa oooohh hatuelewi Kwa SASA hakuna wanaume.......na mkitaka kuolewa oooooh Mimi bado ngoja Kwanza .......mkiliwa kimasikhara ooooh umenichezea .......mnatakaJe kwani? Sasa dawa yenu ni mkongo Tu harafu kila MTU kwao....... Unataka kupangiwa chumba ili uanzishe ligi ya mahaba na mbwa mwitu wengine.......nyambafu
Mwanamke mwaminifu shauku yake ni kuolewa.Hapa ndio tunapojua kwamba afya ya akili ni Noma Sana.....msipo olewa oooohh hatuelewi Kwa SASA hakuna wanaume.......na mkitaka kuolewa oooooh Mimi bado ngoja Kwanza .......mkiliwa kimasikhara ooooh umenichezea .......mnatakaJe kwani? Sasa dawa yenu ni mkongo Tu harafu kila MTU kwao....... Unataka kupangiwa chumba ili uanzishe ligi ya mahaba na mbwa mwitu wengine.......nyambafu
Uko sahihi mkuu. Hawaeleweki. Amenihakikishia hana mtu mwingine zaidi yangu. Lkn kuishi pamoja anaona jau! Mtihani kweli huuHapa ndio tunapojua kwamba afya ya akili ni Noma Sana.....msipo olewa oooohh hatuelewi Kwa SASA hakuna wanaume.......na mkitaka kuolewa oooooh Mimi bado ngoja Kwanza .......mkiliwa kimasikhara ooooh umenichezea .......mnatakaJe kwani? Sasa dawa yenu ni mkongo Tu harafu kila MTU kwao....... Unataka kupangiwa chumba ili uanzishe ligi ya mahaba na mbwa mwitu wengine.......nyambafu
Huyu mwanamke nilikutana nae miezi mitatu iliyopita nikiwa katika harakati zangu za kikazi mkoa flani. Alinivutia muonekano wake na tabia (napenda wanawake wapole). Tukaanza mahusiano baada ya wiki mbili za kufahamiana. Mkoa aliopo anaishi kwa ndugu.
Umri ana miaka 25. Anafanya kazi kiwanda cha wahindi. Hawamlipi vizuri kutokana na maelezo yake na kazi anafanya siku sita za wiki, masaa 12 kwa siku. Hua anapewa siku moja tu ya kupumzika. Kwahyo ili tuwe tunaonana inalazimika mimi ndio niwe nasafiri kila napopata nafasi kwa vile tunaishi mikoa tofauti ni umbali wa masaa matatu kati yetu.
Tatizo binti shida hazimkauki. Binti anaomba sana ela. Kuanzia pesa ya nauli ya kwenda na kurudi kazini. Vocha. Kula. Mahitaji yake yote lazima aombe kubustiwa. Nimepiga hesabu kwa wiki pesa ndogo akiomba ni elfu 80, hua haipungui hapo. Sasa hivi ameomba nimpangie chumba nimnunulie na furniture ili tuwe tunakutana kwa uhuru tofauti na hivi tunavyokutana lodge kila nikija.
Kwahiyo nilimkalisha chini. Mshahara wangu haujui lakini ni zaidi ya mara tisa ya ule anaopokea yeye. Nikampa wazo anipe utaratibu nikajitambulishe kwao wanijue. Then aje tuishi wote huku tukitafta project iwe ya biashara au chochote ambacho ataweza kufanya akiwa huu mkoa niliopo mimi kuliko kuendelea kufanya kazi ambayo haimlipi huku akizidi kuniingizia unnecessary costs. Mipango ya ndoa then iendelee.
Amegoma katakata. Anadai kwa sasa kuishi na mwanaume ni mapema mno. Anataka kua independent awe na chumba chake, afanye kazi zake na maisha mengine. Nimemuambia kama haiwezekani basi kila mtu aendelee na maisha yake kuliko kupotezeana mda. Analia. Analalamika nimemchezea. Eti simpendi na simjali na nimebadilika! Binafsi nimeshindwa kumuelewa!
Amekuhakikishia kwa mdomo???🤣🤣🤣🤣Uko sahihi mkuu. Hawaeleweki. Amenihakikishia hana mtu mwingine zaidi yangu. Lkn kuishi pamoja anaona jau! Mtihani kweli huu
Yeye amesema amhamishe kazi then wakapange waishi wote heeeeeeeee yote ayo miez mitat na wanaume hubadika hurogwa, na mengne mengi ety mm niache kazi niliyofanya mda mrefu nifate mwanaume bora niitwe malayaTatizo lako sio kuolewa, bali kurasimisha kuolewa. Maana kama unahudumiwa hadi hela ya kula, na unatoa papuchi kiroho safi, hapo ni umeolewa kibubu-bubu tayari.
Sijaelewa ulichoandika hapo. Nimesoma zaidi ya mara tatu lakini bilabilaAnaekupenda bhna wengne tu hatupendi kuolewa kabsaa ila kupenda tuna fall kabsa shida inakuja pale unaponiambia uniweke ndani uwiiiiiiiiiiiii!!!!! Sitaki kbs
Ila ni pisi flani hivi ikikaa mjengoni raha tupuHamna mke hapo huyo ni mganga njaa.
Independent na anaomba hela kila week , unapigwa hapoAmegoma katakata. Anadai kwa sasa kuishi na mwanaume ni mapema mno. Anataka kua independent awe na chumba chake, afanye kazi zake na maisha mengine
Amenihakikishia nipo peke yangu ila kwa sasa anataka anataka kua independent. Daaaah!Shikilia hapo hapo vinginevyo endelea kupoteza.
Hauko peke yako ndio maana hataki kukutambulisha.
Hayo malalamiko anataka huruma na ndio fimbo yao ya kujilinda lkn ukweli ni kwamba hauko peke yako
Una umri gani?? Namuona binti yuko sahihi kukimbilia kukutambulisha kwao,either kakuona haujapevuka badoOfcuz nimeingia gharama mkuu ila hazizidi 1.5mil. Ndio maana nataka niweke ndani kabisa kupunguza cost na kupush forward maendeleo.
Hii safari naikatisha mwamba.. Tatizo binti analia lia saaaanaDuh mbona Kama unavamia usichokiamin.. yaani mkae kila mtu kwake then uje uoe.
Haya mwanetu safari njema