B Balqior JF-Expert Member Joined Jun 8, 2021 Posts 3,302 Reaction score 10,300 Dec 30, 2022 #261 Vocal Fremitus said: Baada ya mikausho mikali naona ameamua kua mpole. Habari za kupangiwa chumba hana tena!View attachment 2463103 Click to expand... Inaonesha bado unampenda uyo demu, huenda mda si mrefu utamrudia, analalamika ivo sababu ameona ukimuacha, hata izo elfu 80 unazompa kila wiki atazikosa, shtuka Vocal Fremitus
Vocal Fremitus said: Baada ya mikausho mikali naona ameamua kua mpole. Habari za kupangiwa chumba hana tena!View attachment 2463103 Click to expand... Inaonesha bado unampenda uyo demu, huenda mda si mrefu utamrudia, analalamika ivo sababu ameona ukimuacha, hata izo elfu 80 unazompa kila wiki atazikosa, shtuka Vocal Fremitus
Profesa Mgala Member Joined Oct 31, 2018 Posts 49 Reaction score 52 Dec 30, 2022 #262 Unique Flower said: Huna maajabu wanawake wanapenda wanaume wenye maajabu Click to expand... Unaposema hana maajabu una maanisha maajabu gani?
Unique Flower said: Huna maajabu wanawake wanapenda wanaume wenye maajabu Click to expand... Unaposema hana maajabu una maanisha maajabu gani?