fund xaa
JF-Expert Member
- Feb 12, 2017
- 253
- 90
inakua ngoma droo mkuu mana mwanamke ukimuachia sana anakupanda kichwani.unaugonjwa tena unaongeza ugonjwa,wallah habaki mtu salama
inakua ngoma droo mkuu mana mwanamke ukimuachia sana anakupanda kichwani.unaugonjwa tena unaongeza ugonjwa,wallah habaki mtu salama
Ndio maana mnajinyongawenzako hatuna na wala hatutaki michepuko,tunajua faida na hasara zake
Unampigia sim mpenzi wako mida ya wanga alafu unajibiwa hivi;
Namba ya mteja unayopiga anaongea na sim nyingine.
ukarudia tena kama mara 5 ivi mda tofautitofauti assume mida ya SAA 7 usiku.
Wallahi ukipata usingizi mi najinyonga.

Si ndio hapo sasa!!!yaan kujipa mapresha tu ! aku
Unampigia sim mpenzi wako mida ya wanga alafu unajibiwa hivi;
Namba ya mteja unayopiga anaongea na sim nyingine.
ukarudia tena kama mara 5 ivi mda tofautitofauti assume mida ya SAA 7 usiku.
Wallahi ukipata usingizi mi najinyonga.
pole sana !ukimchunguza sana bata....we usk huo cha kupga sim ni nn!
Poleni sana ninyi wavulana na wasichana.
Wengine ikisha fika mida ya majeruhi huwa hatupigi simu kabisaaaa.....![]()
Na hata siku tunapo toka safari huwa tunatoa taarifa siku moja kabla, ili kuepusha presha, vifo vya ghafla na magomvi yaaio ya lazima
lazima ipande
imeshakua msiba!haya asante
Mmmmmmh ! Hivi zile pass za mama Ndalichako" s" inaishia ngapi vile?nimesahau.
hahaaha niimecheka sana aic
Mida ya wanga unagundua nini mkuu
khaaa Poleni jamani
Hahahahaaaaa,,,,,,,,,,,mapenzi ni upofu Me too toa ushuhuda hapa ni kwel??
Kwanini uongee na simu mida ya wanga?
Preshaaaa
Yaani kuna akili nyingine sio kabisaa, unapiga simu mida ya wanga Unataka kuongea nini labda kigeni... Wanawake wanapata shida saana na hawa wanaume wenye akili za kivulana....Poleni sana ninyi wavulana na wasichana.
Wengine ikisha fika mida ya majeruhi huwa hatupigi simu kabisaaaa.....![]()
![]()
Na hata siku tunapo toka safari huwa tunatoa taarifa siku moja kabla, ili kuepusha presha, vifo vya ghafla na magomvi yaaio ya lazima
umeanza sasaNakuona ujue......![]()
![]()
![]()
Acha kuishi maisha ya kuiga comment za watu Alf kumwambia ivyo mtoa mada cio ujanja ni ushamba tuUmeshamaliza homework dogo? Itabidi wazazi tuwaambie walimu waongeze maswali. Madogo wanatupa BP wazazi. Au tuwajengeee mabweni mlale boda!
mi nlijua kugongwa na nyoka!Shabaash!Unampigia sim mpenzi wako mida ya wanga alafu unajibiwa hivi;
Namba ya mteja unayopiga anaongea na sim nyingine.
ukarudia tena kama mara 5 ivi mda tofautitofauti assume mida ya SAA 7 usiku.
Wallahi ukipata usingizi mi najinyonga.
Mleta uzi anautoto mwingi vitu vingine sio vya kuulza na shida kubwa huwa tunafikiria mabaya kuliko mazuriukiona ivo jua cm yako mbovu.