Jamani hakuna kitu kibaya kama hiki...

Jamani hakuna kitu kibaya kama hiki...

phone ya ben pol

Sent from my TECNO H6 using JamiiForums mobile app
 
Wavulana mnapata taabu sana.
Wanaume huwa tunakuwa na amani muda wote. Ukishaongea na mwanamke wako narudia tena MWANAMKE WAKO sio msichana hata kama ni saa kumi na mbili jioni basi inatosha.
Mida ya wanga badala ulale na kutafakari ya kesho au maendeleo wewe unawaza kupiga simu?
 
he hr he man of a year

yaani mtu unataka muongee kwenye cm kuanzia saa tano usiku mpaka saa kumi alfajiri alafu hapo kesho ndo job unalala saa ngapi?

jiamini boss mapenzi yasikuendeshe sana.

i hope [HASHTAG]#kobo[/HASHTAG] umempata.
 
Unampigia sim mpenzi wako mida ya wanga alafu unajibiwa hivi;
Namba ya mteja unayopiga anaongea na sim nyingine.
ukarudia tena kama mara 5 ivi mda tofautitofauti assume mida ya SAA 7 usiku.
Wallahi ukipata usingizi mi najinyonga.
ukirudia kupiga mara ya 10 haipatikani kwa sasa
 
Back
Top Bottom