MBITIYAZA
JF-Expert Member
- Jan 22, 2017
- 14,947
- 26,084
Poleni sana ninyi wavulana na wasichana.
Wengine ikisha fika mida ya majeruhi huwa hatupigi simu kabisaaaa.....[emoji135] [emoji135]
Na hata siku tunapo toka safari huwa tunatoa taarifa siku moja kabla, ili kuepusha presha, vifo vya ghafla na magomvi yaaio ya lazima
hahahahhaahahahahahah!kwakweli taarifa muhimu kwa kipindi hiki!