Ushimen
JF-Expert Member
- Oct 24, 2012
- 42,419
- 104,867
Hapo mwanzo nilipata shida sana kukuelewa aiseeee......niuzie hyo simu
Skuizi tunaenda sawa aiseeee..

Hapo mwanzo nilipata shida sana kukuelewa aiseeee......niuzie hyo simu

Ona sasa umeumbuka....daah huyu kumbe anafnya kaz TCU af anatulilia njaa
Till akaunti aliitumiaga kakaangu please kaka acha kukosoa pasipo hitajika.
Aibu yake leo..Kakaako anafanya kazi TCU halafu unakosa pesa ya chakula?.kuwa muwazi mkuu kuwa ulijipandisha mwenyenyewe kwenye grade zisizo zako.

Mimi ni mkulima, na ndiomaana napenda sana kuwakaribisha huku Ushirombo tule raha duniani..Ndio tatizo la member wengi humu huwa wanajifanya wana pesa na kazi zao haliyakuwa nimasikini tu kama sisi wengine.
Tatizo kubwa la JF kila mtu ni BoSS.

Usikasirike mkuu....Nmekuomba pesa ya kula cjawaomba TCU mimi kama vipi acha kuchangia
Ohooooo........Toa msaada man tyar nsatumiwa 10000 hapa mpesa bado 40000

kweli kimpatacho swala simba hajui,mwenzenu yuko serious mnaleta masihara,akifa njaa mtasema vp alishindwa hata kuomba msaadaniuzie hyo simu
mkuu utashngaa siku ukikata moto anakubeba mwanaumeKama wa kike nitafute.
Dharau zako na ujuaji ndio vinakuponza....Ushirombo masankuloni ndo kwenu au

Angekuwa muwazi angesaidiwa ila anaonekana tapeli tapeli... hakuna atakayemsaidia. Mara anafanya kazi TCU mara anaomba msaada. Hivi director wa TCU anaomba msaada?kweli kimpatacho swala simba hajui,mwenzenu yuko serious mnaleta masihara,akifa njaa mtasema vp alishindwa hata kuomba msaada
VAN DAME SI KUNA UZI ULIANZISHA KAMA WEWE WAKALA WA TCU UNASAIDIA VIJANA KUPANGWA VYUO LEO VEEPE TENA UNAOMBA MSAADA KAMA MWANAFUNZI MMMHWakuu hali inazidi kuwa ngumu..!!
Siku hizi nakula mlo mmoja tu usiku.
Tena wali maharage 1000/=
Bila hata maji ya kunywa.
Wazazi hawana pesa wanasema wamekopa mpaka wamechoka.
Naombeni ushauri nifanye nini???
Nimechaguliwa BACHELOR OF SCIENCE IN NURSING lakini nmekosa mkopo.
Mbna KOZI ZA AFYA MAGU kasema frst priorty ila mimi nmekosa kabisa..
Naombeni msaad jamani wa kifedha nitakufa njaaa.
NAHITAJI MDHAMINI WA KUNIPA PESA YA KULA HATA 50,000.
ASANTENI.