Madihani
JF-Expert Member
- Apr 30, 2015
- 6,326
- 7,522
Mkuu hata mimi nahitaji wa kuishi nae,gharama za mahitaji zote kwangu.Nije mimi?
Mkuu hata mimi nahitaji wa kuishi nae,gharama za mahitaji zote kwangu.Nije mimi?
Hapa naona huna sifa za kusaidiwa tena wewe ni boss uko TCU haina haja.KCMCo mkuu
Mi 1 yr mzumbe BAF-PS... Mkopo imekuwa kama miyeyusho... Ndonafikiria naendaje kuishi pale.... Sijui 1500 kw siku... Daaandio mkuu hasa kwa waliokomunika au wapiga pass maarufu.
Nikikumbuka maisha ya chuo nnaamua kumuachia Mungu aiseee
PCB wote mlioahirisha mwaka tukutane hapa Msome hapo kwenye hii thread alipojifanya director wa TCU halafu anadai account yake inatumiwa na watu kumi.Van damme alijifanya director wa tcu?
Me mwenyewe Nipo chuoni na boom sijapata...Toa msaada man tyar nsatumiwa 10000 hapa mpesa bado 40000

..usiJali mdgo wangu Upo field hapo,wagonjwa huwa tunapitia taabu za hivyo na zaidi tukiwa tunasubiria huduma hospitalini,kaza Moyo!!Wakuu hali inazidi kuwa ngumu..!!
Siku hizi nakula mlo mmoja tu usiku.
Tena wali maharage 1000/=
Bila hata maji ya kunywa.
Wazazi hawana pesa wanasema wamekopa mpaka wamechoka.
Naombeni ushauri nifanye nini???
Nimechaguliwa BACHELOR OF SCIENCE IN NURSING lakini nmekosa mkopo.
Mbna KOZI ZA AFYA MAGU kasema frst priorty ila mimi nmekosa kabisa..
Naombeni msaad jamani wa kifedha nitakufa njaaa.
NAHITAJI MDHAMINI WA KUNIPA PESA YA KULA HATA 50,000.
ASANTENI.
Vipi kwani..Chuo gani mkuu
ungekuwa dar ningekupa offer ya kukaa kwangu
ungekuwa dar ningekupa offer ya kukaa kwangu