Jamani first year mimi nakufa njaa chuoni

Jamani first year mimi nakufa njaa chuoni

Kumbuka wewe ni mtoto wa kiume jera wanakula mara moja saa tisa mpaka kesho saa tisa,komaa vinginevyo utaingia matatizoni hasa kama upo mikoa ya pwani.
 
Acha kulia lia mkuu...amka, simama, tizama juu then utagundua maisha inabid yasonge tu no matter what...kama upo tayar na kama unaishi hostel tufanye collabo nakusambazia nguo za kike na kiume...za kike umpa demu unaemwamin auzie madem..za kiume utawashtua washkaji wachugue mzigo...then nakugawia % yako hutokaa ulaumu bumu
 
Kivipi mkuu
Wewe ulileta thread humu ukijifanya nimfanyakazi sijui wa TCU,sijui Heslb halafu leo unadai kaka ako ndio alitumia account yako.Kwa maana hiyo brother wako nimfanyakazi sidhani kama anaweza kushindwa kukusaidia pesa ya kula kipindi hiki unachosubiri mkopo.
 
Nmekuomba pesa ya kula cjawaomba TCU mimi kama vipi acha kuchangia
 
Asante mkuu..?
Nmechaguliwa bachelor of science in nursing na alisema afya na tiba ndo kipaumbele nashangaa nmekosa na mimi
nmesoma shule za KATA tangu vidudu.
Taja chuo wewe,mbona unakwepa swali.
 
Back
Top Bottom