Hapana siwezi kuacha kuchangia wakati hii ni public forum kila mtu anauhuru wakuchangia.Watu kama nyie huwa mnashindwa kusaidiwa kwa ajili ya thread zenu baadhi.Humu JF kuna matapeli wanaotumia majukwaa mbalimbali kuomba msaada haliyakuwa hawana shida.Uijifanya director wa TCU halafu leo unakuja kulia umekosa mkopo kweli tukuelewe kirahirahis tu.Nmekuomba pesa ya kula cjawaomba TCU mimi kama vipi acha kuchangia

Hapana siwezi kuacha kuchangia wakati hii ni public forum kila mtu anauhuru wakuchangia.Watu kama nyie huwa mnashindwa kusaidiwa kwa ajili ya thread zenu baadhi.Humu JF kuna matapeli wanaotumia majukwaa mbalimbali kuomba msaada haliyakuwa hawana shida.Uijifanya director wa TCU halafu leo unakuja kulia umekosa mkopo kweli tukuelewe kirahirahis tu.
wewe akaunti inaeza tumiwa na watu 10PCB wote mlioahirisha mwaka tukutane hapa Msome kwenye hio link akijifanya director wa TCU halafu leo anadai kakosa mkopo tumkubalie kieahisi.Taja chuo wewe,mbona unakwepa swali.
Jana angeweka 1000 aliolia wali angepata hiyo 50,000Pesa ya kula unanunulia bundle, bora hiyo pesa ungebet mechi za jana eti.
Mkuu acha uhuni unayoyafanya hapa wameshayafanya wengine.wewe akaunti inaeza tumiwa na watu 10
Sawa ushapewa like tulia basi kakaaanguPCB wote mlioahirisha mwaka tukutane hapa Msome kwenye hio link akijifanya director wa TCU halafu leo anadai kakosa mkopo tumkubalie kieahisi.
Duh kumbe mhuni nilitaka nimsaidie hata msimbazi sasa basi.PCB wote mlioahirisha mwaka tukutane hapa Msome kwenye hio link akijifanya director wa TCU halafu leo anadai kakosa mkopo tumkubalie kieahisi.
Taja chuo kwanza kama upo Dar njoo UDSM hapa.Njoo PM kaka nkupe namba
ww na wenzako mbona mnawaibia watz lichuo lenu la institute of adult education chuo fekiUnamaliza hela kwa kununua bandle wewe
Van damme alijifanya director wa tcu?Hapana siwezi kuacha kuchangia wakati hii ni public forum kila mtu anauhuru wakuchangia.Watu kama nyie huwa mnashindwa kusaidiwa kwa ajili ya thread zenu baadhi.Humu JF kuna matapeli wanaotumia majukwaa mbalimbali kuomba msaada haliyakuwa hawana shida.Uijifanya director wa TCU halafu leo unakuja kulia umekosa mkopo kweli tukuelewe kirahirahis tu.
Mkuu parachichi linasaidia sana eeeuza smart phone ule.
alafu jitahidi kushindia miparachichi na maji ili usije ukafa kwa njaa.

Nije mimi?sijapata si unajua watu wa dar mashauzi wanajifanya hawana shida mkuu?