Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 28,027
- 52,500
sijapata si unajua watu wa dar mashauzi wanajifanya hawana shida mkuu?Hujapataga tu Mwana Mkuu wangu?
Huyu ni wa kiume,upo tayari kukaa naye?
sijapata si unajua watu wa dar mashauzi wanajifanya hawana shida mkuu?Hujapataga tu Mwana Mkuu wangu?
Huyu ni wa kiume,upo tayari kukaa naye?
Wifi ya chakula badoo....Mkuuu bundle chuo kina wifi(internet) ya buree
Huku Masikhara Mengi. Basi tangaza nafasi kwa wanachuo wa Kiume.sijapata si unajua watu wa dar mashauzi wanajifanya hawana shida mkuu?
wa kiume siwezi mkuuHuku Masikhara Mengi. Basi tangaza nafasi kwa wanachuo wa Kiume.
Oya me mwenyew namtafuta sana uyo miss natafuta aseeHuku Masikhara Mengi. Basi tangaza nafasi kwa wanachuo wa Kiume.
Si unamfanya kama Mtoto wako tu Mkuu wangu! Una nia ya kusaidia,msaidie tu yeyote!wa kiume siwezi mkuu
hakina mjadala mkuu siweziSi unamfanya kama Mtoto wako tu Mkuu wangu! Una nia ya kusaidia,msaidie tu yeyote!
Miss Natafuta huyu Mkuu anakutafuta. Naomba umsaidie.Oya me mwenyew namtafuta sana uyo miss natafuta asee
subiri second batch utapataWakuu hali inazidi kuwa ngumu..!!
Siku hizi nakula mlo mmoja tu usiku.
Tena wali maharage 1000/=
Bila hata maji ya kunywa.
Wazazi hawana pesa wanasema wamekopa mpaka wamechoka.
Naombeni ushauri nifanye nini???
Nimechaguliwa BACHELOR OF SCIENCE IN NURSING lakini nmekosa mkopo.
Mbna KOZI ZA AFYA MAGU kasema frst priorty ila mimi nmekosa kabisa..
Naombeni msaad jamani wa kifedha nitakufa njaaa.
NAHITAJI MDHAMINI WA KUNIPA PESA YA KULA HATA 50,000.
ASANTENI.
ungekuwa dar ningekupa offer ya kukaa kwangu
Kwa sasa swali la kujiuliza ni je,ataishije mpaka hiyo batch itakapotoka na mpaka wasainishwe? Msaidie tu!subiri second batch utapata