Amefanya kila njia nizae naye

Onyix

JF-Expert Member
Jan 15, 2014
683
788
Wadau habari,

Mimi ni kijana wa Makamo nina maisha mazuri tu na sijaoa. Sasa kuna Dada mmoja tulikaa naye mtaani(familia zetu) baada ya muda mrefu tumeonana nae nae baada ya mimi kuhamishiwa kikazi Mwanza.

Uyo dada kaolewa na ana muda mrefu kwenye ndoa lakini hajabahatika kupata mtoto... kwa kuwa tulikuwa tunafahamiana huko nyuma basi tumekuwa marafiki wa kawaida tu.

Siku za hivi karibu amewatuma rafiki zangu kama wa nne hivi waje waniombe nizae nae.. mi nikawa nachukulia utani. Baada ya muda kupita kamtuma mdogo wangu wa kiume akiomba aje aniambie jambo lilelile. Mimi sikuchulia serious muda umepita kanivaa mwenye mkavu kaniomba nimsaidie nimpe mimba tu.

Baada ya kuhoji kuhusu mumewe , akaniambia yupo ila wamejaribu imeshindikana na mumewe ni mtu mzima. Uyo dada kuonyesha yupo serious kuna kiasi cha pesa anata kunipa (pesa ndefu), nilipo muuliza mumewe akijua kasema hawezi kujua maana siri ya mtoto ni Mama, na mumewe alisha wahi kuwa na watoto wa2 huko nyuma na mwanamke mwingine kabla ya kufunga naye ndoa. Hivyo mumewe kizazi anacho ila ndo hajui tatizo kwa nini hapati mimba.

Weekend hii amekuja na picha za nyumba anasema zinauzwa nichague aninunulie kama zawadi nikikubali kumpa mimba, tatizo mimi nafahamika kwao na uyo dada maana familia zetu zinaishi jirani.. na kitu dada anaona mimi nafanana kidogo na mume wake, hivyo hata mtoto akizaliwa hakuta kuwa na issue sana. Kumbuka mimi pia nna position nzuri tu Serikalini, nawaza hii issue mbeleni uyo mwanamke hawezi kuitumia kama siraha kwangu ya kunichafua.

Wadau naomba ushauri nile mtego na chambo wake au niendelee kupotezea, au nichukue pesa au nyumba nikamilishe mchezo na mke wa mtu?
 
Achana na hizi mambo blaza.

Mambo yake mwaachie mwenyewe usijiangaishe nae.

Usiimgilie ndoa za watu achana nazo hizi biashara wala usiupe nafasi ubongo wako kufikiria mambo ya kipuuzi kama haya.

Tafuta mwanamke wako akupe uzao wako halali.
 
Msome Equation hapa chini, ana maoni mazuri sana juu ya hilo jambo.

Wadau habari,

Mimi ni kijana wa Makamo nna maisha mzuri tu na sijaoa. Sasa kuna Dada mmoja tulikaa naye mtaani(familia zetu) baada ya muda mrefu tumeonana nae nae baada ya mimi kuhamishiwa kikazi Mwanza.

Uyo dada kaolewa na ana muda mrefu kwenye ndoa lakini hajabahatika kupata mtoto... kwa kuwa tulikuwa tunafahamiana huko nyuma basi tumekuwa marafiki wa kawaida tu.

Siku za hivi karibu amewatuma rafiki zangu kama wa nne hivi waje waniombe nizae nae.. mi nikawa nachukulia utani. Baada ya muda kupita kamtuma mdogo wangu wa kiume akiomba aje aniambie jambo lilelile. Mimi sikuchulia serious muda umepita kanivaa mwenye mkavu kaniomba nimsaidie nimpe mimba tu.

Baada ya kuhoji kuhusu mumewe , akaniambia yupo ila wamejaribu imeshindikana na mumewe ni mtu mzima. Uyo dada kuonyesha yupo serious kuna kiasi cha pesa anata kunipa (pesa ndefu), nilipo muuliza mumewe akijua kasema hawezi kujua maana siri ya mtoto ni Mama, na mumewe alisha wahi kuwa na watoto wa2 huko nyuma na mwanamke mwingine kabla ya kufunga naye ndoa. Hivyo mumewe kizazi anacho ila ndo hajui tatizo kwa nini hapati mimba.

Weekend hii amekuja na picha za nyumba anasema zinauzwa nichague aninunulie kama zawadi nikikubali kumpa mimba, tatizo mimi nafahamika kwao na uyo dada maana familia zetu zinaishi jirani.. na kitu dada anaona mimi nafanana kidogo na mume wake, hivyo hata mtoto akizaliwa hakuta kuwa na issue sana. Kumbuka mimi pia nna position nzuri tu Serikalini, nawaza hii issue mbeleni uyo mwanamke hawezi kuitumia kama siraha kwangu ya kunichafua.

Wadau naomba ushauri nile mtego na chambo wake au niendelee kupotezea, au nichukue pesa au nyumba nikamilishe mchezo na mke wa mtu?
Ikimbie hiyo dhambi boss, itaigharimu
 
Kumbuka kuna kuingizwa mkunyenge kwenye tundu la nyuma mke wa mtu sumu na mtu anakuwa katili mno so juu yako kusuka au kunyoa
 
Wenye wadhifa mzuri serikalini hawaongeagi private issues zao...sisi vimbwenga ndo tunashida🙄
 
Yamewekwa kwenye mfuko uliotengenezwa kwa kamba
Haya bana
Screenshot_20220703-222807_Messages.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom