Jamani eti naye anataka kunizalia mtoto

Muulize mkeo, akiridhia nawewe ndo umjaze mimba tena mapacha maana ye c ndo ametaka bwana!
 
Huna nia ya kumuacha huyo iko siku tu utafanya..assume mkeo analalwa na dume jamaa jingine..not fair
 
THIS IS TOO LITTLE MATTER TO BE DISCUSED HERE,ITS JUST INDIVIDUAL ONE,either even a primary child can solve it!!
 
Kama hujaelewa ni kwamba Ndoa yako inatafutwa na zawadi ya Ukimwi kama kifuta jasho. Vinginevyo umzalishe ukiwa umevaa kondomu.
 
Kuumbee ndio ivo

Ndio, point yangu ni kwamba tayari una mke na una watoto wawili, alafu unashawishiwa kuwa na mtoto wa nje na mwanamke mwingine na unakosa maamuzi!!
Ukizaa nae, mkeo atajua tu, na hapo ndo ndoa yenu itakapoingia matatani. Lazima kutakuwa na mawasiliano ya moja kwa moja ya wewe na wazazi wenzio, kutakuwa na chuki lazima kutoka kwa mkeo kwa 'kumchoma' kisu mgongoni!
 
We angalau umeongea la maana kidogo

Comment ya kwanza kabisa..namuona mkuu Villain akikuuliza ni nini mtazamo wako juu ya mada uliyoileta.
UKAJIBU KISHKAJI KWAMBA UMETINGWA..hujui ufanyaje.

Na mawazo mengi mazuri hapa yametolewa nawe UME-LIKE. Ume-like unafiki tuu! Kumbe wew nawe ndo wale wale "we niangusage tuuuu, lakn sambi ni sako menyewe!".

Mzinz ulobobea...endeleza kuijaza dunia sasa. Au hauna kipibdi darasani leo??? ATI NI WALE WA KUJINYONGA! Lakn kwa kuwa umesema wew ni Masele Cha-pombeee, nimekusamehe bure.
 
Awali ya yote nikuase uachane na mawazo ya kipuuzi na umheshimu mkeo. Naomba kukuliza swali:- kwani wewe ni dume la mbegu/ kwani kazi yako ni kusambaza mbegu?

MHESHIMU MKEO NA ACHANA NA HUO MWAVULI WA MTANI UNAOJIFARIJI NAO. ACHANA NAE HARAKA SANA KABLA KENGELE YA HATARI HAIJALIA. KOMAA NA NJIA KUU MICHEPUKO SIO DILI. EPUKA UKIMWI. OVER
 
Ivi kwanini wanaume mnakuaga na tamaa, unamke, watoto wawili kwani uyo atakayekuzalia n gold au, wanaume jitambueni acheni tamaa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom