Jamani eeeh, wenzenu wameingia Disco

ndetichia

JF-Expert Member
Mar 18, 2011
27,770
6,521
ngoja waje wakulambe na wewe siunawajua lakini baadae kidogo..mkuu mwajuma
 
Straddler

JF-Expert Member
Sep 9, 2009
722
188
Ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha, Mashehe bwana, ha ha ha ha ha,

Takbir

Tujaribu kutafautisha "Uarabu" na "Uislamu". Hiyo wanayocheza ni ngoma ya kienyeji ya Waarabu (ambao kuna Wakristo, Waislamu na Wayahudi). Mavazi waliyovaa ni mavazi asilia ya Kiarabu.
 
eddiom

Member
Oct 4, 2010
57
15
Tujaribu kutafautisha "Uarabu" na "Uislamu". Hiyo wanayocheza ni ngoma ya kienyeji ya Waarabu (ambao kuna Wakristo, Waislamu na Wayahudi). Mavazi waliyovaa ni mavazi asilia ya Kiarabu.

sawa kabisa ndugu Straddler ngoma hio ni katika utamaduni wao wao. haina uhusiano na dini ya kiislaam.
 
Straddler

JF-Expert Member
Sep 9, 2009
722
188
Uislam ni uarabu na Waarabu ni waislam.

... unang'ang'ania Bongo mno na weye.. hebu jaribu kutembea.. au walau kuuliza watu waliokwishafika nchi za "kiarabu" za Jordan, Syria, Lebanon, na Iraq......... IMGlargephotoArabChristians.jpg ....... Christian in Palestine holds a crucifix.jpg ...................... Hizi Dini wenyewe wako Middle East, sisi huku ni wavamizi tu. Na huko chokochoko hakuna. Wenyewe wanaazimana na chumvi.
 
Mulhat Mpunga

JF-Expert Member
Oct 28, 2010
27,289
16,230
leo nimecheka saaaana mi nilijua naangalia
ile ya pale migo traventine
mara naona kina yakheeee
asee nipo hoooi
 
bitimkongwe

JF-Expert Member
Oct 21, 2009
4,517
2,515
Uislam ni uarabu na Waarabu ni waislam.

Usiwe mjinga hata unapoelimishwa kijana. Wewe ina maana hata hujui hiyo dini unayofuata asili yake ni wapi, loh!

Waarabu wako jamii ya waislamu na wakristo, na wote mavazi yao ni ya aina moja (kanzu, kilemba.....) kama huku kweetu wanavyovaa lubega, kanga, kaniki...
 
MaxShimba

JF-Expert Member
Apr 11, 2008
35,782
4,040
... unang'ang'ania Bongo mno na weye.. hebu jaribu kutembea.. au walau kuuliza watu waliokwishafika nchi za "kiarabu" za Jordan, Syria, Lebanon, na Iraq......... View attachment 37868 ....... View attachment 37869 ...................... Hizi Dini wenyewe wako Middle East, sisi huku ni wavamizi tu. Na huko chokochoko hakuna. Wenyewe wanaazimana na chumvi.

Ahh kumbe Palestina nchi ya Israeli.
 
MaxShimba

JF-Expert Member
Apr 11, 2008
35,782
4,040
Usiwe mjinga hata unapoelimishwa kijana. Wewe ina maana hata hujui hiyo dini unayofuata asili yake ni wapi, loh!

Waarabu wako jamii ya waislamu na wakristo, na wote mavazi yao ni ya aina moja (kanzu, kilemba.....) kama huku kweetu wanavyovaa lubega, kanga, kaniki...

Kwani mimi nafuata dini gani?
 
Straddler

JF-Expert Member
Sep 9, 2009
722
188
Ahh kumbe Palestina nchi ya Israeli.

Inaweza kuwa "Palestina nchi ya Israel" au "Israel nchi ya Palestina"............... Who cares? Certainly not me.!!!
Ya kwetu yanaelekea kutushinda, hayo ya Palestina na Israel tutayaweza wapi? Wanapigania ardhi hao, wakati sisi tumekazania kuuza ardhi kwa pesa kiduchu..!!!
 
Mwanamayu

JF-Expert Member
May 7, 2010
10,941
5,884
Tujaribu kutafautisha "Uarabu" na "Uislamu". Hiyo wanayocheza ni ngoma ya kienyeji ya Waarabu (ambao kuna Wakristo, Waislamu na Wayahudi). Mavazi waliyovaa ni mavazi asilia ya Kiarabu.

Uarabu na Uislamu hautenganishwi!!
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

2 Reactions
Reply
Top Bottom