Jamani eeeh, wenzenu wameingia Disco

Jamani eeeh, wenzenu wameingia Disco

Inaweza kuwa "Palestina nchi ya Israel" au "Israel nchi ya Palestina"............... Who cares? Certainly not me.!!!
Ya kwetu yanaelekea kutushinda, hayo ya Palestina na Israel tutayaweza wapi? Wanapigania ardhi hao, wakati sisi tumekazania kuuza ardhi kwa pesa kiduchu..!!!

Labda uangalie Jina Palestina lilianza lini. Ukisha pata utashangaa kuwa Wafilisti walikuwa kabla ya hao Palestina. Who are these Palestinians, "invaders" wa nchi ya watu.
 
Jitambue mwenyewe kwani kwenye michango yako threads nyengine huwa unachangia vitu gani vya dini? Unadhani hakuna connection!

Mimi ni Mlokole wale ambao wanalia sanaaaaaa, Je, Ulokole ni dini?
 
Hii ni kali, Mashehe waingia DISCO na Kanzu, khaaa, mimi sijaona Wachungaji wakifanya hii mambo.
 
Midume ya Kimanga inapandisha midadi na kujiachia utadhani hayana akili nzuri. Halafu usikute hata neno moja la Kiswahili hawaelewi. Kudadeki.
 
Labda uangalie Jina Palestina lilianza lini. Ukisha pata utashangaa kuwa Wafilisti walikuwa kabla ya hao Palestina. Who are these Palestinians, "invaders" wa nchi ya watu.

Mimi niangalie jina Palestina? Litanisaidia nini? :confused2:
 
hurambwi,lol.narambwa mie,haaaaaaaaaaaaaam haaaaaaaaam.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom