Jamani Dunia

Jamani Dunia

Tena mshukuru Mungu hujui kakuepusha na nn. Move on na ktk maisha usije ukamtegemea mtu hata siku moja. Mwoneshe ya kuwa unaweza bila yy.ipo siku atarud kwa aibu mwamini Mungu.
Hii kauli ya "hujui mungu kakuepusha na nini" ni dhaifu
 
Nafuu umpe papuchi ukumbukie nope alikuwa hayupo hivyo kwake alikuwa mtu anayejiheshimu wala sio nimeandika tu huu ni ukweli halisi ila yote maisha.
So unaumia nini kama kakubwaga hajakugusa kiandazi chako.
 
Mf. Wewe nijifanye best yako wandani nimpe mtu mwingine kazi ambayo wewe ulikuwa unaniomba nikutafutie ??
Naninajua fika nikikupa itakusaidia kwa ada na mambo ya muhimu ila nikampa mtu mwingine.
 
wote wachoyo
 
Nimemzoea mtu yapata miaka kadhaa huwa anajionyesha yeye ni malaika alijiweka sehemu ya mimi kumuamini ila alitoka akampa kazi mtu mwingine nikatika kampuni ya rafiki yake

Akaona isiwe tabu kaniambia na kunionyesha msichana aliyempigania kumpatia jamani kimeniuma na nimeamini kwamba sio kila mtu unamwamini nimemfungulia moyo wote nimemuamini ila siku ya mwisho kanibwaga bwa.

Naalijua itanisaidia kwa mahitaji ya shule kama ada na kulipia chumba cha kuishi.
Ila alifanya tu eti wengine wanatamani kusaidia mtu mwingine rafiki kipenzi ndio hivyo.

Alichonifanya.
kama hukumpa papuchi ulitegemea nini?
 
Mlikuwa na makubaliano ya hiyo position ya ajira au uliamini kuwa malaika hiyo atajua mahitaji yako bila wewe kumuambia?
 
Kulikuwa na makubaliano kabisa naniliitegemea ila akampa msichana aliyempenda
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom