HB wa kigogo
JF-Expert Member
- Aug 24, 2017
- 2,489
- 6,251
Maana yake ni kwamba Mara nyingi tukishindwa kwenye jambo flani hususani kwenye mambo ya mahusiano tunapenda kujipa moyo kwa kutumia hii kauli ya hujui mungu kakuepusha na nini.Meaning??
Mbona mambo yakiwa swadakta hatujiulizi