Kipindi kile Msajili anaitwa Katto,Mkuu wa Chuo Msoma baadaye Magila,Engineering Mathematics kuna kiumbe anaitwa Elineema ilikuwa balaa tupuacha kulialia wenzako tumesoma hapo supp tuliisikia kwenye bomba.
Kwanza siku hizi DIT imelegeza imekuwa soft sana, hapo ndio School of hardknock
Jamaa analeta longolongo kwa CR wa SUA sio? [emoji13]Huna jinsi lazima unyamaze ma-CR wa SUA hatunaga mdhaha.....chuo SUA bwana DIT na UDSM ni kama TEKU tu. Nilikuwa CR wa SUA bwana unibabaishi kitu wewe.
Civil mkuuMkuu upo civil au mechanical.. DIT we paache tu pale utafikiri bado upo A level vile.
Mpuuzi kabisa yule.....hanijui CR wa SUA nini!Jamaa analeta longolongo kwa CR wa SUA sio? [emoji13]
Mbona.... Unang'ang'ana na sua mjmb, pale kawaida tuu..Mpuuzi kabisa yule.....hanijui CR wa SUA nini!
SUA ndo chuo mkuu vingine vyote ni sawa na TEKU tu au zion. Me ndo CR wa SUA bwana najulikana hadi Tigris huko Ethiopia.Mbona.... Unang'ang'ana na sua mjmb, pale kawaida tuu..
bila shaka utakuwa kijana wa dar wewe.Maana nyie mnapndalialia kiduanz Mimi wa chuga unasemaje kwanYani chuo kama advance bana,yani msuli kama upo skuli jamani kah, tuhurumiane....chuo masomo mengi, malecture jau, sheria kali, hapa hakuna viboko tu ila ni kama shule....
Hama. Tatizo umetokea shule ya kawaida, DIT walikuwa wanapokea watu cream kutoka technical schools wakiwa na foundation nzuri na ndo maana walikuwa hawalii kam wewe. Soma acha kulialia au la acha kauze machungwaYani chuo kama advance bana,yani msuli kama upo skuli jamani kah, tuhurumiane....chuo masomo mengi, malecture jau, sheria kali, hapa hakuna viboko tu ila ni kama shule....
Kwa kulopoka tu hujambo hujui hata unamqoutes nani eti wa mkoani? Nan wa mkoani?Yani WaMkoa mnajuana aiseee kwa lugha zenu
Siku hiz hatuangalii UDSM, tunaangalia UDSM huko unasoma nn, VP kuhusu future at least umeona uelekeo au just jina la chuo linakufurahisha, vp kuhusu hao wa vyuo vingine ....are they so weak, mbona mtaani hao wa UDSM wapo wengi kuzidi vyuo vingine what's wrong with them, THINK!!!!!!!tz chuo ni kimoja tu UDSM.HOME OF INTELLECTUALS.
umesoma teku o ruco?Siku hiz hatuangalii UDSM, tunaangalia UDSM huko unasoma nn, VP kuhusu future at least umeona uelekeo au just jina la chuo linakufurahisha, vp kuhusu hao wa vyuo vingine ....are they so weak, mbona mtaani hao wa UDSM wapo wengi kuzidi vyuo vingine what's wrong with them, THINK!!!!!!!
Huyo Elineema alipiga kibaha Advance ??, au sio huyo mkuuKipindi kile Msajili anaitwa Katto,Mkuu wa Chuo Msoma baadaye Magila,Engineering Mathematics kuna kiumbe anaitwa Elineema ilikuwa balaa tupu
Duh kweli.. Kaza jombaa hakuna namna ni msuli tu.Civil mkuu
Engineering ina mambo mengi sana,lazima ujitoe kikweli kweli siyo kuleta sababu.Piga shule kijana utoke ya clean sheet ya Supp.inawezekana tuuunasoma Engineering acha kulialia mjomba, hata ukienda uko udsm st Joseph ,Saut na kwingineko kwote lazma upige msuli na mamodule ni mengi hivyo hivyo,Bachelor of Engineering sio Bachelor of education mjomba
KUSOMA [SANAAA] NI LAZIMA
Shame on you kufananisha udsm na upuuziacha kukariri unaijua DIT wewe au unaongea tu? hao wa UDSM wana nn cha ziada kuliko DIT acha kukariri kijana
hahahahaAlafu ukimaliza hapo unakuja mtaani unapigwa jua utosi miaka kadhaa ndio akili ikukae sawa
We husomi civil engineering unless hujui nini maana ya civil engineering!!Civil mkuu