Jamani CCM wameanza tena propoganda zao chafu za sms, hebu angalia hii

Hatuwezi kuwa tunadanganyika kila siku, cccm wanapaswa wajipange na kujibu hoja za upande wa wapinzani wao, pia wanapaswa wamshauri Rais ambaye ni Mwenyekiti wa Chama chao juu ya kutatuo matatizo ya Uongozi wake, mh alikwisha sema kwamba "Urais wangu hauna UBIA NA MTU YOYOTE", CCCM WASILAUMU KWA MATENDO YAO BALI WAJISAFISHE KWA MATENDO YAO.
 
Mbona hawatoi namba iliyotuma hiyo sms?au ndo uzushi wanataka kuupandikiza hapa jf?
 
unajua CCM ni sawa na walevi waliolewa madaraka.wanaweweseka hovyo hawajui kwamba adui wao namba moja ni wananchi na si chadema wanayoitarget.
 
You kno hw to react vigorously dude! Kwa kuanzia tushulikie zile za wakati wa uchaguzi.. huu ni uhuni wa serikali na tcra! Haiwezekani Sheria iwe na upande,ifanye kazi kwa upinzani,kwa wenye maslahi na serikali sheria inakuwa bubu.....kwa mtu yeyote asokuwa ***** lazima atajua asili ya sms,ni from Ccm
 

2015 sio mbali kiviiiiiiiiile
Mpaka kieleweke
 


we sasa unachekesha,kama mtu ni mwanachama wa CDM iweje aogope kuonyesha kadi yake au kujitangaza kama ni mwanachadema kwani kuna uhaini ghani hapo? demokrasia ya kweli haihitaji woga bali ujasiri hadi kieleweke.usiwe bendera fuata upepo bali uwe jasiri unapotetea haki yako hata ikibidi kufa kwani sharti mbegu ife ili kutoa mazao mapya.
 
Hivi ukiwa CCM lazima uwemjika kiasi gani? maana hata hizo propaganda zao ni za kijinga kiasi kwamba hata mtu mwenye elimu ya ndogo kabisa atagundua kuwa huu niusanii
 
Mimi ni mmojawapo wa waliokerwa mno na zile message za wakati wa kampeni na bado nina namba zile... In this case I see something very funny!! Inakuwaje mkuu unanukuu message uliyopokea lkn 'unasahau/ficha' au 'unakwepa' kuweka wazi kuhusu namba iliyotuma hiyo msg??? Please tuwekee hiyo namba hapa au tueleze kama imekuja bila namba.
 

CCM haina jipya. Huo mtindo wa sms hauwafikishi popote. CCM kwa upande wao ndio hutumia mbinu hizo za kusafirisha watu au kutumia wanafunzi wa shule ili kuwa na umati mkubwa wa watu. Mwaka huu bundi kataga Kauai ccm, wanalo. HONGERA UKAWA MSONGE MBELE DAIMA.
 
Sasa wao inawahusu nini, kama wanakereka na mbinu hiyo wao waje ni mkakati mbadala wa kuipiku hiyo mbinu. Wanadhani Lowassa kaja na yale maujinga ya CCM.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…