Jamani CCM wameanza tena propoganda zao chafu za sms, hebu angalia hii

Hatuwezi kuwa tunadanganyika kila siku, cccm wanapaswa wajipange na kujibu hoja za upande wa wapinzani wao, pia wanapaswa wamshauri Rais ambaye ni Mwenyekiti wa Chama chao juu ya kutatuo matatizo ya Uongozi wake, mh alikwisha sema kwamba "Urais wangu hauna UBIA NA MTU YOYOTE", CCCM WASILAUMU KWA MATENDO YAO BALI WAJISAFISHE KWA MATENDO YAO.
 
Mbona hawatoi namba iliyotuma hiyo sms?au ndo uzushi wanataka kuupandikiza hapa jf?
 
unajua CCM ni sawa na walevi waliolewa madaraka.wanaweweseka hovyo hawajui kwamba adui wao namba moja ni wananchi na si chadema wanayoitarget.
 
Hypothetical satire:<br />
Write down your number, time and date you received the message and PM it to me and everyone who says thanks to this post. We will get back to you with all the sender's info returned by the trace! No fancy algorithms, we have simple tools to trace back the identity and location of the sender by analysis of logs! Certainly, the law enforcers as well as telecom companies/operators/agencies shall be happy to assist!
You kno hw to react vigorously dude! Kwa kuanzia tushulikie zile za wakati wa uchaguzi.. huu ni uhuni wa serikali na tcra! Haiwezekani Sheria iwe na upande,ifanye kazi kwa upinzani,kwa wenye maslahi na serikali sheria inakuwa bubu.....kwa mtu yeyote asokuwa ***** lazima atajua asili ya sms,ni from Ccm
 
Sms hii inasambaa kwa kasi sana sijui ww imekufikia?

Quote MPANGO WAFICHUKA!!! CHADEMA wametenga bilioni 20 za chakula,malazi na kusafirisha vijana toka mikoa ya Mwanza,Musoma,Mbeya,Moshi na Arusha kupelekwa jijini Dar kwa ajili ya maandamano ya kuikataa serikali ya JK. End quote

2015 sio mbali kiviiiiiiiiile
Mpaka kieleweke
 
Noo wana jf be carefully, tusfurah na kusema kua tupo tayari, kufanya ivo, noo! Izo ni njama za adui yetu kuwaua wafuas wachanga wa CDM kwa kuwaonesha kua CDM ina nia mbaya. CDM inao wataalam makin wa IT watusaidie kujua chanzo cha Msg hyo ili tufaham nin cha kufanya b4 its implications of that msg to pples. CDM member i advice you even to b careful, dont show up ua identity card of CDM openly and anywhr.


we sasa unachekesha,kama mtu ni mwanachama wa CDM iweje aogope kuonyesha kadi yake au kujitangaza kama ni mwanachadema kwani kuna uhaini ghani hapo? demokrasia ya kweli haihitaji woga bali ujasiri hadi kieleweke.usiwe bendera fuata upepo bali uwe jasiri unapotetea haki yako hata ikibidi kufa kwani sharti mbegu ife ili kutoa mazao mapya.
 
Sms hii inasambaa kwa kasi sana sijui ww imekufikia?

Quote MPANGO WAFICHUKA!!! CHADEMA wametenga bilioni 20 za chakula,malazi na kusafirisha vijana toka mikoa ya Mwanza,Musoma,Mbeya,Moshi na Arusha kupelekwa jijini Dar kwa ajili ya maandamano ya kuikataa serikali ya JK. End quote
Hivi ukiwa CCM lazima uwemjika kiasi gani? maana hata hizo propaganda zao ni za kijinga kiasi kwamba hata mtu mwenye elimu ya ndogo kabisa atagundua kuwa huu niusanii
 
Mimi ni mmojawapo wa waliokerwa mno na zile message za wakati wa kampeni na bado nina namba zile... In this case I see something very funny!! Inakuwaje mkuu unanukuu message uliyopokea lkn 'unasahau/ficha' au 'unakwepa' kuweka wazi kuhusu namba iliyotuma hiyo msg??? Please tuwekee hiyo namba hapa au tueleze kama imekuja bila namba.
 
Sms hii inasambaa kwa kasi sana sijui ww imekufikia?

Quote MPANGO WAFICHUKA!!! CHADEMA wametenga bilioni 20 za chakula,malazi na kusafirisha vijana toka mikoa ya Mwanza,Musoma,Mbeya,Moshi na Arusha kupelekwa jijini Dar kwa ajili ya maandamano ya kuikataa serikali ya JK. End quote

CCM haina jipya. Huo mtindo wa sms hauwafikishi popote. CCM kwa upande wao ndio hutumia mbinu hizo za kusafirisha watu au kutumia wanafunzi wa shule ili kuwa na umati mkubwa wa watu. Mwaka huu bundi kataga Kauai ccm, wanalo. HONGERA UKAWA MSONGE MBELE DAIMA.
 
Sasa wao inawahusu nini, kama wanakereka na mbinu hiyo wao waje ni mkakati mbadala wa kuipiku hiyo mbinu. Wanadhani Lowassa kaja na yale maujinga ya CCM.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom