Jamani CCM wameanza tena propoganda zao chafu za sms, hebu angalia hii

Naona hata sony experia haijapata hiyo msg, zinaingia kwenye simu za mchina.

ONYO: ATAKAYENITUMIA NITAMSHTAKI POLISI KWA MUJIBU WA SHERIA MPYA ILIYOPITISHWA JUZI
 
Unaumwa wewe..
Hela za mboga za eskrow hukuziona?
Na wewe wasambazie
 
sms hii inasambaa kwa kasi sana sijui ww imekufikia?

Quote mpango wafichuka!!! Chadema wametenga bilioni 20 za chakula,malazi na kusafirisha vijana toka mikoa ya mwanza,musoma,mbeya,moshi na arusha kupelekwa jijini dar kwa ajili ya maandamano ya kuikataa serikali ya jk. End quote
wewe kenge maji muongo sana, umetunga wewe huo uvumi
 
Sasa wao inawahusu nini, kama wanakereka na mbinu hiyo wao waje ni mkakati mbadala wa kuipiku hiyo mbinu. Wanadhani Lowassa kaja na yale maujinga ya CCM.[/QUOT


wape maujinga yao kawaachia huko huku anatekeleza ilami ya cdm na ukawa. ccm ndo zao watu watatolewa hhadi moro kuja kumsindikiza magufuli
 
Sms hii inasambaa kwa kasi sana sijui ww imekufikia?

Quote MPANGO WAFICHUKA!!! CHADEMA wametenga bilioni 20 za chakula,malazi na kusafirisha vijana toka mikoa ya Mwanza,Musoma,Mbeya,Moshi na Arusha kupelekwa jijini Dar kwa ajili ya maandamano ya kuikataa serikali ya JK. End quote

Wao kama chama dola wanatakiwa kutoa majawabu kwa matatizo ya watu siyo majibu!
 
Poor CCM,mlianza na dhana ya udini na ukabila,ikawatafuna wenyewe,mkaja na bao.la mkono.likawavunja wenyewe,hili.la kuhonga litawasambaratisha
 
Back
Top Bottom