Namaanisha hivyo wala sina ficho hakyamungu! labda waje hapa sweetlady, Mzee wa Rula, LiverpoolFC, na marejesho wanisaidie kutoa ushahidi. Ngoja nirudi zangu Arusha.
Kwa wajanja kama sisi, tukiunganisha dots za sredi ya Mzee wa Rula na post ya PakaJimmy kuhusu kutoa siri za PM hazarani, well hapo BOMACOW lazima Mamzalendo anahusika!
Unabisha?
Taratibu Mkuu! Kule tulishawekeza zamani ndio maana tulikutahadharisha mapema. Yule member we muache hivyohivyo! Hata hivyo tunamshukuru sana kwa mwitikio na mchango wake kwa Smile. Japo kwake ilikuwa ghafla, lakini alijitoa. Big Up sana bibie!
Namaanisha hivyo wala sina ficho hakyamungu! labda waje hapa sweetlady, Mzee wa Rula, LiverpoolFC, na marejesho wanisaidie kutoa ushahidi. Ngoja nirudi zangu Arusha.
Kwa wajanja kama sisi, tukiunganisha dots za sredi ya Mzee wa Rula na post ya PakaJimmy kuhusu kutoa siri za PM hazarani, well hapo BOMACOW lazima Mamzalendo anahusika!
Unabisha?
hata mimi naamini hivyo!
Jackpot!!
Hommie ahsante kwa kuweka mambo hazarani. Kijana Arushaone kakamatika Bomacow, ODM nimekonkludi!
Popote ulipo Mamzalendo, kam zis wei ukamatepo limbwata uwekee hii homeboy....
Tulia babu, Mamzalendo teyari ameonesha interesti kwangu. Najipanga tu kifamilia na my wife wangu. Yu no wat aimini!?
nipo boma hapa.....kuna nini mbona sioni.....?
Namaanisha hivyo wala sina ficho hakyamungu!!! Maneno yananiisha mie mtoto wa RCHUGA, labda waje hapa sweetlady, Mzee wa Rula, LiverpoolFC, na marejesho wanisaidie kutoa ushahidi. Ngoja nirudi zangu Arusha ila sina ugomvi na Filipo.
Tulia babu, Mamzalendo teyari ameonesha interesti kwangu. Najipanga tu kifamilia na my wife wangu. Yu no wat aimini!?
Hebu toka pande hiyo mshiki. We huna mvuto pande hiyo.
Afu hebu ambia hiyo Mamzalendo ikam zis wei niikaguemo kabla ndugu zangu Arushaone na Filipo hawajamaliza ligi yao.
Waishwaaaa?
Inapotokea kuwa wajukuu zako wana akili kali kama kisu cha muuza nyama wa bucha ya pale Manzese, basi unajihisi kuwa hukupoteza nguvu zako.....
Nafurahi kuona brain za akina Arushaone, Erickb52, Rocky na mtoto mpotevu The Finest inacharge kisawa sawa!!
Proud to be Babu,
Babu DC!!