JAMANI BOMA BOMA BOMA!! NASEMA BOMA NG'OMBE wilaya ya HAI..

ha ha ha ha ha mie sisemi na jana mipango tuliyoweka lazima ujipange ndugu, halafu Sweetlady na wenziwe nawatafuta wanijuze kilichompata Arushaone maana mi mpaka jana jioni naambiwa wote wapo shwari kabisa sasa?

Arushaone ni mshambuliaji akina goli tu anachanganyikiwa daaaaah.

Sina hakina kachanyikiwa kiasi gani na kama atashirikishikisha viungo wachezaji ili kushinda.
 
Last edited by a moderator:
Arushaone ni mshambuliaji akina goli tu anachanganyikiwa daaaaah.

Sina hakina kachanyikiwa kiasi gani na kama atashirikishikisha viungo wachezaji ili kushinda.

Sasa mkuu kwa nafasi yako, unatakiwa kufuatilia na kutupa uhakika wa afya ya kijana wetu Arushaone.....

We care for his health na lazima tumwepushe na RIP!!

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
Sasa mkuu kwa nafasi yako, unatakiwa kufuatilia na kutupa uhakika wa afya ya kijana wetu Arushaone.....

We care for his health na lazima tumwepushe na RIP!!

Babu DC!!

ni kweli Babu, jamaa amesahau kwamba yeye ndiye Hon. Chief Secretary General Director na ndiye aliyeongoza msafara jana!?
 
Last edited by a moderator:
Baba V am talking about BOMANG'OMBE wilaya ya HAI mkoani KILIMANJARO, acha kuzuga. Nimekufa nimeoza kwa Mamzalendo naombeni maji ya kunywa...koh koh koh... jamani presha...

Kaja kushiriki msiba wa mama ake Smile umejiangushia kwake, lakini Mamndenyi alinambia hataruhusu kirahisirahisi, m consult umsikie, Mamzalendo umekamata toto ya Arachuga
 
Last edited by a moderator:
Duuuuhhhh...mbona unamtangazia kiama mapema hivyo?

Why usingemuacha hadi walau apate lunch....Nahisi Filipo yuko kwenye hali ya hatari sasa...

Hata hivyo naamini marejesho atakuwa na huruma....

Babu DC!!
Babu DC usihofu, haya mambo mie na mume wangu mpenzi Filipo tutayamaliza kistaarabu sana.. Naelewa kuwa yeye ni mwanadamu ,majaribu yapo ili ayashinde... Ntampa tu mwongozo kidogo wa namna ya kudeal na issue kama hizi na kumkumbusha ahadi ya Ndoa...
 
Last edited by a moderator:
ha ha ha ha ha ha ha ha ha uwi hawa ndio wanaume bwana haya, Arushaone dear tulia presha isipande si unaona hapa anamwambia marejesho ananitania tu, hivyo huna hata mpinzani lol

..Soul searching and touch words!!
 
Babu DC usihofu, haya mambo mie na mume wangu mpenzi Filipo tutayamaliza kistaarabu sana.. Naelewa kuwa yeye ni mwanadamu ,majaribu yapo ili ayashinde... Ntampa tu mwongozo kidogo wa namna ya kudeal na issue kama hizi na kumkumbusha ahadi ya Ndoa...

Sasa mbona unamchimba beat mbele ya wapinzani wake??

Unajua utaua confo lake?

Sie wa 1947 tunawependa sana wajukuu zetu na hatupendi wapate shida....

Nitasubiri feedback ya Filipo kama hatapewa kichapo cha mbwa mwizi....

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
Babu DC usihofu, haya mambo mie na mume wangu mpenzi Filipo tutayamaliza kistaarabu sana.. Naelewa kuwa yeye ni mwanadamu ,majaribu yapo ili ayashinde... Ntampa tu mwongozo kidogo wa namna ya kudeal na issue kama hizi na kumkumbusha ahadi ya Ndoa...

Mwanamke unaakili sana wewe. Hujasahau hata moja ulilofundishwa na Kungwi. Ndio maana nilikupenda na nikakuoa! Hawa akina Mamzalendo na sweetlady ni upepo, na utapita!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom