JAMANI BOMA BOMA BOMA!! NASEMA BOMA NG'OMBE wilaya ya HAI..

Boma imekufanyeje Arifu? Mji wa wajanja huo......... Na tuko mbioni kuufanya Jiji
Siku nikiwa pande hizo lazima nianzishe JF Bomang'ombe wing..
 
Last edited by a moderator:
Taratibu Mkuu! Kule tulishawekeza zamani ndio maana tulikutahadharisha mapema. Yule member we muache hivyohivyo! Hata hivyo tunamshukuru sana kwa mwitikio na mchango wake kwa Smile. Japo kwake ilikuwa ghafla, lakini alijitoa. Big Up sana bibie!
 
Last edited by a moderator:
Taratibu Mkuu! Kule tulishawekeza zamani ndio maana tulikutahadharisha mapema. Yule member we muache hivyohivyo! Hata hivyo tunamshukuru sana kwa mwitikio na mchango wake kwa Smile. Japo kwake ilikuwa ghafla, lakini alijitoa. Big Up sana bibie!

Jackpot!!

Hommie ahsante kwa kuweka mambo hazarani. Kijana Arushaone kakamatika Bomacow, ODM nimekonkludi!

Popote ulipo Mamzalendo, kam zis wei ukamatepo limbwata uwekee hii homeboy....
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Asprin mbona mimi sikuelewi huyu hata hajasema nini kilimpata hapa boma walikupoteza wenzio hapa jamani?walikufanyaje Arushaone niambie?kuna mtu aliwadhulumu au kuwasumbua mkipita hapa boma ili nijue cha kufanya. Nilifurahi sana kuwaona natamani niwaone tena jamani, karibuni tena
 
Namaanisha hivyo wala sina ficho hakyamungu!!! Maneno yananiisha mie mtoto wa RCHUGA, labda waje hapa sweetlady, Mzee wa Rula, LiverpoolFC, na marejesho wanisaidie kutoa ushahidi. Ngoja nirudi zangu Arusha ila sina ugomvi na Filipo.


Inapotokea kuwa wajukuu zako wana akili kali kama kisu cha muuza nyama wa bucha ya pale Manzese, basi unajihisi kuwa hukupoteza nguvu zako.....

Nafurahi kuona brain za akina Arushaone, Erickb52, Rocky na mtoto mpotevu The Finest inacharge kisawa sawa!!

Proud to be Babu,

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
Tulia babu, Mamzalendo teyari ameonesha interesti kwangu. Najipanga tu kifamilia na my wife wangu. Yu no wat aimini!?

Filipo na Babu Asprin jamani taratibu mnaweza vunja mahusiano ya watu humu kwa kuhisi ndivyo sivyo ngoja aje atuelezee yaliyomkuta, halafu Filipo taratibu Marejesho asijeakaja hapa na speed.
 
7 Reactions
Reply
Back
Top Bottom