Kama ni mwanamke wako wa siku zote ukimsoma utajua siku zake vizuri zipi hatari na zipi salama kukutana nae, japo unahitaji umakini wa hali ya juu sana make huwa zina fluctuate ni ka elimu kidogo tu kanahitajika..
Halafu mtu anajitia unafiki eti msibani anasikitika ilhali yy ni muuaji kama wauaji wengine.
Ni sahihi kabisa: Utoaji mimba ni Ushetani mkubwa. Ni kosa chini ya Mbingu na mbele za Jamii. Kwa nini ukiue kiumbe hai hicho kilicho ndani mwilini mwako ilhali ni wewe mwenyewe huyo huyo kwa hiari yako uliruhusu na kuridhia nafasi kwa kiumbe hicho kiwepo ndani yako? Ni UKATILI wa hali ya juu sana ukizingatia kwamba mtoto-mimba hana uwezo wowote ule wa kujitetea.