Bossmkubwasana
Senior Member
- Apr 9, 2019
- 139
- 47
NIMETOKA MBALI HATA HAMNIKALIBISHI? ET NIKAE WAP?
DAH humu kuna watu hawacheki ukitazama hata profile zao kazi tuUnachokitafuta Utakipata
kwani niko na sajil lain au?Karibu mkuu
Taja majina yako 3
Eneo uliopo
Namba ya simu na picha 3 au zaidi
Jamani😂😂😂 title kabisa unaandika "jaman"Umetoka mbali wapi
Halafu wanaume hatutumii neno jamani
Sio hata jamani..jamanUmetoka mbali wapi
Halafu wanaume hatutumii neno jamani