Ushauri wa course ya kusoma

Ushauri wa course ya kusoma

salumukiame4

New Member
Joined
Nov 22, 2023
Posts
2
Reaction score
2
Ni ipi course nzuri na yenye ajira kati ya BED in psychology na BCS.in chemistry and physics na zote zinahusiana na nini na field zake zipo wap msaada jaman kwa mwenye uelewa na haya mambo
 
Kuna ulazima wowote wa kusoma hizo kozi?

Mbona kama kibongobongo hazijakaa pazuri.
 
Ni ipi course nzuri na yenye ajira kati ya BED in psychology na BCS.in chemistry and physics na zote zinahusiana na nini na field zake zipo wap msaada jaman kwa mwenye uelewa na haya mambo
Kasome course ya Special Needs Education utanishukuru badae.
 
Back
Top Bottom