Inategemea umetakiwa cheti cha kuzaliwa mahali gani, lakini baadhi ya matumizi yake ni:
1. kujua kama hudanganyi umri.
2. kazi nyengine au nafasi za masomo zina viwango wa umri wa mwombaji
3. kujua umezaliwa wapi, data muhimu kwa kuomba vitambulisho mbalimbali ikiwemo paspoti
4. kupata data sahihi kama vile sensa.