Jaman naomba msaada kwenye simu ya Samsung j5

Jaman naomba msaada kwenye simu ya Samsung j5

muulize huyo jamaa yako sasa ameeka play service? kueka tu apk ya playstore hakusaidii inabidi na framework zisizoonekana nazo aziweke, kama google framework, playservice etc.

pia alternative flash rom ya hongkong ya simu yako, hongkong wanazo hizo app zote.
Ooh sawa mkuu ndo maana kuna mda ilkua ina sema frame work has stopped
 
Sawa!
Shukrani!

Then nawezaje kuhamisha contents, apps, toka S4 kwenda E7 na settings zake?

Hilo sidhani kama linawezekana. Labda apps lakini settings zake sidhani labda wanaojua zaidi watakueleza.
 
muulize huyo jamaa yako sasa ameeka play service? kueka tu apk ya playstore hakusaidii inabidi na framework zisizoonekana nazo aziweke, kama google framework, playservice etc.

pia alternative flash rom ya hongkong ya simu yako, hongkong wanazo hizo app zote.
Kwaiyo nkixha download izo zte itafanya kazi kawaida kabsa
 
Mkuu chifu hivi ni kwa nini taifa la uchina halitumii google play store
ni sera za nchi hawatumii vitu vya nje wanatengeneza wenyewe vya ndani, badala ya playstore wana store zao za ndani kama vile myapp. na sio playstore tu hawana facebook na twitter wana weibo, hawana youtube wana youku, hawana google wana baidu. etc.
 
Back
Top Bottom