Kama malinzi hajafanya kitu kwenye soka letu basi hakuna kiongozi aliyewahi kufanya chochote kwenye soka letu, binafsi namkubali malinzi kwenye soka la vijana, na alijua fika kuwekeza kwenye soka la vijeba ngasa na wenzie ni kupoteza mudaVijembe gani mkuu ? Hivi huyo jamaa amefanya kitu gani katika soka letu ? Yaani yupo pale for personal interest, ni muda muafaka kwake kuondoka.