Jamal Malinzi ni kitu gani umekisahau pale Karume hadi ugombee tena ?

Huyo malinzi aondoke tu,hakuna alichofanya ..mafanikio pekee aliyofanya ni kuwafungia watu miaka na kupora pesa za vorabu kinguvu eti kwaajili ya soka la vijana,sijui ooh taifa staz maboresho...atoke zake
 
Mkuu usikwazike na swali ninalokwenda kukuuliza.

Kwa kuwa una kiu ya kuona mpira wetu unakua kwa kiwango cha akina Messi na Ronado imekuwaje mwanao umemuacha anakata viuno akudo sound?

Unataka nani acheze? Au unataka Jamali amchukue na Dioniz awe kipa na ndugu zake wengine wawe viungo na mabeki wapatiemo na washambuliaji ndio wakawashinde wakameroon?

Kwa nini hutaki kujikubali kuwa uwezo wa uchezaji wetu ni viwango vya Juma Nyoso?

Otherwise eleza mlitaka Jamali Malinzi afanye nini ambacho hajafanya.

Habari ya "kupaisha mpira" kwenye steji za mzee yusufu labda inawezekana.
Malinzi aondoke Ili mpira wetu ukue full stop.
 
jamaa anaitwa frank wanjiru akikuskia unayoyasema hayo utaisoma namba mzee, ana hisa na malinzi
 
Malinzi aondoke Ili mpira wetu ukue full stop.
Hakuendesha ligi?

Semeni mlitaka nini mueleweke!!!

Hii habari ya aondoke tu aondoke tu ndio utoto wa hatari kuuentertain.

Niambieni mlitaka afanye nini.

Sitaki kulazimika kufikiri kuwa mlikuwa mnaishi kwa kupewapewa vihela ili muendeshe maisha.

Semeni mlitaka Malinzi afanye nini mlichomtuma halafu hajafanya?
 
Mkuu usikwazike na swali ninalokwenda kukuuliza.

Kwa kuwa una kiu ya kuona mpira wetu unakua kwa kiwango cha akina Messi na Ronado imekuwaje mwanao umemuacha anakata viuno akudo sound?

Unataka nani acheze? Au unataka Jamali amchukue na Dioniz awe kipa na ndugu zake wengine wawe viungo na mabeki wapatiemo na washambuliaji ndio wakawashinde wakameroon?

Kwa nini hutaki kujikubali kuwa uwezo wa uchezaji wetu ni viwango vya Juma Nyoso?

Otherwise eleza mlitaka Jamali Malinzi afanye nini ambacho hajafanya.

Habari ya "kupaisha mpira" kwenye steji za mzee yusufu labda inawezekana.
Mkuu hawa watu wapinga Malinzi ni vigumu sana kuwaelewa wakitakacho ndio mimi na wasiwasi kuwa labda walitaka Malinzi awarudishie asante yao mifukoni na wala sio kuleta maendeleo ya soka letu through leadership.

Sent from my Vodafone Smart Tab 3G using JamiiForums mobile app
 
Mkuu mimi anikumbuke kwa lipi atanisaidia nini huyo jamaa labda mawazo ila siyo pesa ninazo zinanitosha !

Jamal Malinzi alikua na team yake humu jamvini tena walitaka kumuengua kumbuka kipindi kile watu walishachoka akina Tenga basi wakaungana kumpigia kampeni huyo jamaa ebu angalia ata ID yake kuwa alianza kuwa member lini utakuta kipindi hicho hicho.

Sometime hizi anonymous ID zinafanya tunadharauliana sana hapa jamvini mi Leo nimeombe hela kwa Malinzi ili iweje ?

GENTAMYCINE Masunga Maziku Jr okwi boban sunzu Masuke na wengine njooni huku.

Umeniita nije nikutetee kwa ' makombora ' uliyoshushiwa au unataka na Mimi nichangie kuhusu suala zima la Rais wa TFF Jamal Malinzi?
 
Mkuu hawa watu wapinga Malinzi ni vigumu sana kuwaelewa wakitakacho ndio mimi na wasiwasi kuwa labda walitaka Malinzi awarudishie asante yao mifukoni na wala sio kuleta maendeleo ya soka letu through leadership.

Sent from my Vodafone Smart Tab 3G using JamiiForums mobile app
Yaani hawa ni rahisi kuwaita "wapiga dili"
Maana haijulikani wanataka nini.

Angekuwa ameahindwa kuendesha ligi ningewaelewa kuwa anadumaza mpira.
Lakini wachezaji wetu wanatulizia mpira ugokoni unategemea nini?

Walioenda kufanya majaribio nje ya nchi ili wacheze soka la kulipwa tunaona wanarudi na visingizio kibao!

Ingekuwa mpira wetu mkubwa kihiivyo kama wanavyojipiga vifua basi wachezaji wetu wa kulipwa wangekuwa kichele au sio bwana eeh!

Watueleze walitaka Jamal Malinzi awe winga au straika?
 
Huyo malinzi aondoke tu,hakuna alichofanya ..mafanikio pekee aliyofanya ni kuwafungia watu miaka na kupora pesa za vorabu kinguvu eti kwaajili ya soka la vijana,sijui ooh taifa staz maboresho...atoke zake
Wewe hata kuandika hujui,hao waliokupa hii kazi ni mambumbumbu kama wewe.

Sent from my Vodafone Smart Tab 3G using JamiiForums mobile app
 
Yaani hawa ni rahisi kuwaita "wapiga dili"
Maana haijulikani wanataka nini.

Angekuwa ameahindwa kuendesha ligi ningewaelewa kuwa anadumaza mpira.
Lakini wachezaji wetu wanatulizia mpira ugokoni unategemea nini?

Walioenda kufanya majaribio nje ya nchi ili wacheze soka la kulipwa tunaona wanarudi na visingizio kibao!

Ingekuwa mpira wetu mkubwa kihiivyo kama wanavyojipiga vifua basi wachezaji wetu wa kulipwa wangekuwa kichele au sio bwana eeh!

Watueleze walitaka Jamal Malinzi awe winga au straika?
Hawa wote ni njaa tupu,mfano mzuri Malinzi anapeleka timu ya Taifa nje kwa maandalizi ya match kuna wapuuzi walianzisha Uzi hapa kupinga hilo swala eti Malinzi anakula hela.

Sent from my Vodafone Smart Tab 3G using JamiiForums mobile app
 
Malinzi akishinda nitashangaa mwezi mzima ! Ameharibu misingi ya adminstration bora aliyoijenga Tenga ovyo kabisa
 
Ameharibu jambo gani?
Lielezee tukuelewe. Achana na umajumui kujibu hoja kama alivyokuwa akijibu Juma Ngasongwa enzi zake.
 
Umeniita nije nikutetee kwa ' makombora ' uliyoshushiwa au unataka na Mimi nichangie kuhusu suala zima la Rais wa TFF Jamal Malinzi?
Mkuu hamna Ata kombora moja hapo , mi nimekuita kama mdau wa mpira wetu huko nchini utoe comment yoyote kuhusu hili la malinzi kugombea tena. Karibu
 
Mbona hujajibu hoja zangu?
Hoja gani mkuu kwamba nataka afanye nini ?
Mimi nataka aondoke sababu hajui anachokifanya anaangalia maslahi binafsi na ukanda tu . Hivi unaweza ukanambia kuwa kafanya kitu gani kikubwa katika soka la bongo. ?
 
Mkuu hamna Ata kombora moja hapo , mi nimekuita kama mdau wa mpira wetu huko nchini utoe comment yoyote kuhusu hili la malinzi kugombea tena. Karibu

Jamal Malinzi ' simkubali ' japo ni Mtani wangu mkubwa wa Kabila la Wahaya ila kwa ' mikakati ' ambayo alikwishaiweka miaka miwili iliyopita Uchaguzi Mkuu wa TFF mwezi August 2017 atashinda tena mapema tu na kwa Kura za kutosha. Hao akina Mayai na Mtemi labda kwa sasa wakagombee tu Urais wa Chama cha Wachezaji Soka Tanzania ( SPUTANZA ) ambako naamini watashinda.

Nikuibie tu Siri na nakuomba itunze hii post yangu Mkuum Rais wa TFF ni Jamal Emil Malinzi na Makamu Rais wa TFF ni Michael Richard Wambura. Kilichomfanya hadi Wambura agombee Urais wa FA ya kwetu Mkoani Mara ( Musoma ) ulikuwa ni ' mkakati ' kabambe wa Rais Malinzi ili ' Swahiba ' wake huyo mkubwa apite kisha amtengenezee mazingira ya kugombea Umakamu Rais wa TFF ili wapite wote na maisha yao ya ' Uswahiba ' yaendelee.
 
Hoja gani mkuu kwamba nataka afanye nini ?
Mimi nataka aondoke sababu hajui anachokifanya anaangalia maslahi binafsi na ukanda tu . Hivi unaweza ukanambia kuwa kafanya kitu gani kikubwa katika soka la bongo. ?
Nyinyi ndio mlimchagua awe rais wenu na sisi wadau tumejikuta amekuwa rais wa mchezo tunaoupenda.

Kila tukiangalia soka letu tunaona wazi kuwa hatuna wasakata kabumbu!! Unabisha?

Juzi tu hapa zimekuja timu kutoka kenya zimewafungaje?
Hapo inaonyesha hatuna uwezo wa kucheza soka!!!
Kutokujua kwa wachezaji wetu kulisakata kabumbu ulitaka Jamali malinzi avue suti yake avae bukta aingie uwanjani?

Kaka lipia mwanao akasome akademi ya mpira!!!! Ukifanya hivyo wewe, na jirani yako na ali mayai nae akapeleka mwanae tutajikuta tuna wachezaji nguli kwa uchache watano!! Unaskia sana bwana!!

Hao wachezaji ndio watatumiwa na chama cha mpira kuifunga Misri na Nigeria na Cameron.

Sasa tuambie atoke kwa kuwa mlimpa jukumu gani akashindwa kulitekeleza?

N.B football academies hazimilikiwi na football federation.

UPO?
 
Ameharibu jambo gani?
Lielezee tukuelewe. Achana na umajumui kujibu hoja kama alivyokuwa akijibu Juma Ngasongwa enzi zake.
Mwenye macho aambiwi tule kalagha bao mtoto wa Malinzi mdogo wa Diva
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom