Jamal Malinzi ni kitu gani umekisahau pale Karume hadi ugombee tena ?

Vijembe gani mkuu ? Hivi huyo jamaa amefanya kitu gani katika soka letu ? Yaani yupo pale for personal interest, ni muda muafaka kwake kuondoka.
Kama malinzi hajafanya kitu kwenye soka letu basi hakuna kiongozi aliyewahi kufanya chochote kwenye soka letu, binafsi namkubali malinzi kwenye soka la vijana, na alijua fika kuwekeza kwenye soka la vijeba ngasa na wenzie ni kupoteza muda
 
Watanzania tusipoacha hii tabia ya kukwepa uwajibikaji wetu binafsi na badala yake kila tunapashindwa ktk jambo flani tunalaumu viongozi, tutendelea kuwa malofa tu.

Jiulize wewe binafsi umefanikisha lipi kati ya yale uliyopaswa kuyafanikisha.Timu ya taifa na hata Serengeti boys wamewezeshwa kwa kiwango kikubwa tu.
 
Wameshamkatia rufaa Ally Mayay Tembele eti kaanza kampeni kabla ya muda wake maana walishajua kuwa Ally Mayay angeshinda. Sasa kura kwa Mwakalibela
 
Mayai na mwenzake Shafii Dauda ndo hakuna kitu kabisa.Huwa wanajifanya kujua kila kitu na kwao hakuna mwingine ajuaye wala kutenda Jema.

Kila kitu wao wanapinga, kila wakati kukosoa hadi kupoteza maana halisi ya habari. Hicho ni kipimo cha mtu asiyejimudu kiakili , lazima uafiki kuwa siyo kila litakalofanywa na mwingine liende sawa na unalowaza kwenye akili yako.
 
Kama malinzi hajafanya kitu kwenye soka letu basi hakuna kiongozi aliyewahi kufanya chochote kwenye soka letu, binafsi namkubali malinzi kwenye soka la vijana, na alijua fika kuwekeza kwenye soka la vijeba ngasa na wenzie ni kupoteza muda
Swadakta Mkuu,hawa watu wana njaa zao walitegemea Malinzi ndio atawasadia kuwajaza hela mfukoni. Yaani juhudi zote anazofanya kuendeleza msingi mkuu wa mpira ambao ni soka la Vijana hawaoni wao wanang'ang'ania matokeo ya Taifa Stars ambayo inapewa kila hitaji lakini hakuna wanachokifanya sijui wanataka Malinzi na kamati yake ya utendaji waingie uwanjani wacheze labda ndio maana wanamng'ang'ania Mayai ili awe anaingia uwanjani kufunga magoli.

Sent from my Vodafone Smart Tab 3G using JamiiForums mobile app
 
Watanzania tusipoacha hii tabia ya kukwepa uwajibikaji wetu binafsi na badala yake kila tunapashindwa ktk jambo flani tunalaumu viongozi, tutendelea kuwa malofa tu.

Jiulize wewe binafsi umefanikisha lipi kati ya yale uliyopaswa kuyafanikisha.Timu ya taifa na hata Serengeti boys wamewezeshwa kwa kiwango kikubwa tu.
Hao washazoea lawama badala ya kupeleka Watoto wao kwwnye Academy za mpira wanaenda kucheza singeli na vibeseni sasa sijui hao wachezaji hodari waliopikwa vizuri watatoka wapi au wanataka Watoto wa Malinzi ndio watuletee ushindi.

Sent from my Vodafone Smart Tab 3G using JamiiForums mobile app
 
Kuna mmoja kaumia, malinzi hata hajui kwamba yupo wapi. Mpaka waziri jana kaenda mwenyewe, alafu anatunisha tumbo pale karume na mishavu tu
 
Povu,mpaka uchaguzi uishe utapata hypertension.

Sent from my Vodafone Smart Tab 3G using JamiiForums mobile app
Mimi mpiga kura

Sent from my Vodafone Smart Tab 3G using JamiiForums mobile app
Hivi mkuu mbona unatumia nguvu nyingi sana kumtetea jamaa tutajuaje kama tunabishana na muhusika mwenyewe as far as we are anonymous? Kikubwa mkuu kipindi kimetosha we endelea na issue zako zingine usisubiri mpaka aibu ikupate.

If you want to test man's character give him power" Abraham Lincoln.
 
Wewe hapa unatumia nguvu nyingi kwa ajili ya mgombea gani?

Sent from my Vodafone Smart Tab 3G using JamiiForums mobile app
 
Kama wewe unafuatilia mwenendo wa soka letu kabla na baada ya Malinzi kuwa kiongozi nadhani usingeuliza huu urojo wako hapa but kwa kuwa unaendeshwa na chuki,wivu na ukabila hautaona mambo mazuri aliyofanya na atakayoendelea kufanya awamu yake ya pili.
Acha pumba wewe nyumba ndogo ya malinzi... mmeo kaboronga bora hata na tenga alafu bado unamtetea si bora nyamlan kipindi kile angeshinda kwani mmeo na wambura wanataka nn mpira wa bongo watupishe... na wewe mtulize mmeo....
 
Huo ni wivu na chuki dhidi ya Malinzi na hatuwashangai ndio msimu wenu huu kipindi hiki.
Wivu wanataka kukuchukulia kwani malinzi kakupa nn wewe mpk unatukana watu wanaotoa mawazo yao humu leo siku ya pili unatukana wanaompinga malinzi... kila mtu ana uhuru wa kutoa mawazo kulingana na maono yake we nan uwe hutoi maoni yako ila unatukana tu watu haya uyo mmeo kafanya kip zaidi ya ufisadi... uwe mstarbu hata kama umetumwa tuliza kende wenzako watoe maoni yao sio kurikia kutukana tu
 
Hivi mkuu mbona unatumia nguvu nyingi sana kumtetea jamaa tutajuaje kama tunabishana na muhusika mwenyewe as far as we are anonymous? Kikubwa mkuu kipindi kimetosha we endelea na issue zako zingine usisubiri mpaka aibu ikupate.

If you want to test man's character give him power" Abraham Lincoln.
Alafu zaidi hatoi facts za kumtetea zaidi ya kutukana watu wenye mawazo ya kumpinga malinzi. Mbona mwazo tulimsapoti ila kapata kaprove zero inabidi akae pembeni sasa huyu chiz anatukana watu tu aweke facts
 
Mkuu acha tu huyu malinzi kipindi kile tulijua angetupeleka kule tunakoota kila ila kashindwa kabisa bora aondoke tu.
[HASHTAG]#MalinziMustQuit[/HASHTAG]
 
Similar Discussions

4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom