Jamal Malinzi ni kitu gani umekisahau pale Karume hadi ugombee tena ?

Ngoja nisubr vijembe kwenye huu uzi
Vijembe gani mkuu ? Hivi huyo jamaa amefanya kitu gani katika soka letu ? Yaani yupo pale for personal interest, ni muda muafaka kwake kuondoka.
 
Sina maneno mengi nauliza tu umesahau kitu gani mpaka uwanie uongozi tena ? Endelea na biashara zako ni muda muafaka wa kuifanyia soko letu tohara .

Jamal Malinzi it's a time now to quit no more.

Nakala waione wapenda mabadiliko wote katika michezo .
Kama wewe unafuatilia mwenendo wa soka letu kabla na baada ya Malinzi kuwa kiongozi nadhani usingeuliza huu urojo wako hapa but kwa kuwa unaendeshwa na chuki,wivu na ukabila hautaona mambo mazuri aliyofanya na atakayoendelea kufanya awamu yake ya pili.
 
Huo ni wivu na chuki dhidi ya Malinzi na hatuwashangai ndio msimu wenu huu kipindi hiki.
 
ana haki ya kugombea wajumbe wata amua kwn shida ipo wapi hata wewe mtoa post kma una vigezo gombea
 
Kama wewe unafuatilia mwenendo wa soka letu kabla na baada ya Malinzi kuwa kiongozi nadhani usingeuliza huu urojo wako hapa but kwa kuwa unaendeshwa na chuki,wivu na ukabila hautaona mambo mazuri aliyofanya na atakayoendelea kufanya awamu yake ya pili.
Hivi unakumbuka kipindi kile anagombe a tafuta na uzi upo hapa jukwaani tulimpigia kampeni ila kwakua amearibu inabidi tumpinge kwa nguvu zote , tulitegemea angeleta neema na ahueni ila kilichotokea Ni aibu he should go.
 
Sina maneno mengi nauliza tu umesahau kitu gani mpaka uwanie uongozi tena ? Endelea na biashara zako ni muda muafaka wa kuifanyia soko letu tohara .

Jamal Malinzi it's a time now to quit no more.

Nakala waione wapenda mabadiliko wote katika michezo .
Mkuu hilo ni tatizo, lakini tatizo lingine kubwa sana ni kuwa sijaona hata mgombea mmoja anayeweza angalau kufikia alipofikia Tenga.. naona wote ni wale wale
 
Kigogo tafadhali kwa nini unadhalilisha hivi. Kwani Malinzi amekukataza kuchukua fomu.
Wahaya wana haki ya kuchangia maendeleo ta nchi hii. Wamechangia maendeleo ya nchi kwenye sexta za kupigania HAKI ta mau mweusi kujitawala mf TAA na TANU. pia kwenye sekta ya afya, elimu, utawala n.k kabla ta uhuru na baada uhuru.
 
Mkuu hilo ni tatizo, lakini tatizo lingine kubwa sana ni kuwa sijaona hata mgombea mmoja anayeweza angalau kufikia alipofikia Tenga.. naona wote ni wale wale
Wakati uchaguzi mkuu wa FIFA unakaribia baada ya Joseph Blater kuenguliwa watu waliuliza itakuaje ile taasisi bila mtu kama yule ila kwa sasa Inflantino ameonyesha kila kitu kinawezekana pale karume hawabebi zege bali mikakati tu mkuu.
 
Hivi unakumbuka kipindi kile anagombe a tafuta na uzi upo hapa jukwaani tulimpigia kampeni ila kwakua amearibu inabidi tumpinge kwa nguvu zote , tulitegemea angeleta neema na ahueni ila kilichotokea Ni aibu he should go.
Hawezi kuleta neema kwenye mifuko yenu nyie mliotegmea fadhila kwa ushindi wake,neema pekee atakayoleta ni maendeleo ya soka la Tanzania na mfano ameshaonyesha kwa Serengeti Boys.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom