Jamaani yeeeeeeeeee, dume limeingia uwanjani

Jamaani yeeeeeeeeee, dume limeingia uwanjani

M A T A T A

New Member
Joined
Dec 12, 2011
Posts
1
Reaction score
0
Nawaombeni mnikaribishe jamiiforum, ingawa mtandao wenu umeshindwa kuikomboa nch yetu,dunia ya leo mitandao ya leo ndo mkombozi wa nch sio wanasiasa mfano ni moroko na misri, wawawawawawawa naja na kisu
 
dume la nini mkuu? tumo madume wengi humu ndani,thought karibu sana......
 
Mbona unaanza na beat MATATA?????? Karibu Jamvini ila JF imeleta mapinduzi mkuu kila kiongozi anaogopa JF.
 
Nawaombeni mnikaribishe jamiiforum, ingawa mtandao wenu umeshindwa kuikomboa nch yetu,dunia ya leo mitandao ya leo ndo mkombozi wa nch sio wanasiasa mfano ni moroko na misri, wawawawawawawa naja na kisu
Jitahidi kuwa mstarabu unapoingia maeneo ya watu walioelimika na wenye upeo wa kujadili mada zenye mashiko! Plz avoid lugha na majina yanayoweza kufanya watu wakuelewe (define) Unaposema dume limeingia unamana gani mana sio lugha ya JF with slogan of great thinkers, let us usetgentleman's language. But karibu Jf a house of great thinkers!!
 
Taratibu kijana mi ndo dume la cobra humu ndani nagonga mpaka visigino
 
Back
Top Bottom